The Vitruvian man: Ufahamu mchoro wenye utata kuhusu mwili wa mwanadamu uliochorwa na Da Vinci

Da'Vinci kuwa serious aisee yaani Shetani mwenye kupiga soga na Sir God live bila chenga azidiwe uwezo na bacteria?
Hadhi yake ndio ya chini kabisa mkuu ila to the top yupo God. Middle yupo mwanadam ambae anaweza kuchagua either ashuke chini to devil au apande juu to God.
Mkuu mboja nawe hua unaongea na Mungu pía au unesahau hilo.?
 
Nimefuatilia habari Za da vinchi nimegundua jamaa hakuwaga na siri. Ila tu watu wanaumiza kichwa bure tu. Ukiacha hii ya kusoma maandishi lazima uweke kioo.. Nothing kipya kwa michoro yake. Hakuna siri wala sirini
Kautazame mchoro wa Mona lisa kila pembe utakayoangalia utamuona huyo mwaname anakuangalia. Ni yeye tu anaweza kuchora hvo
 
Shetani ni malaika, kwa hiyo yupo level ya malaika, kwa vile ameasi basi ni malaika muasi
Hapana. Hayupo levo ya malaika..
Shetani ni cheo sio jina
Ukiitwa shetani umepewa cheo cha meisho kabisa in universe na unakua umevuliwa cheo cha umalaika
 
"WATU WENYE AKILI zaidi waliowahi kuishi duniani wanatambua mungu yupo ndio maana wakatoa concept hiyo ya the great chain of being, ila wewe una kadigrii kamoja huna ulichokifanya kwenye jamii kutokana na digrii yako hiyo ila kwa frustration za maisha yalivyokudunda unasema hakuna Mungu..pole sana…"

AKILI NI NINI?
 
Naomba nisaidie maana mkuu
Mkuu ile aya yako ya mwisho inaelezea upuuzi fulani ndani yako! Utanisamehe bure!..
Ni kivipi hao unaowaita magenius kuamini kwao Mungu kunafanya wengine wasipinge..??
Kauli uliyotumia kuuelezea ujumbe wako huo kumemaanisha hata Mungu humjui!,na sio tu humjui bali hana mawasiliano nawe!.. maana unautumia u genius wa wengine kukubali kwao uwepo wake kuwa ndio uwepo wa Mungu huyo!.
Kwanini usiitumie nafasi yako wewe kututhibitishia uwepo wa huyo Mungu ili tujue unamfahamu kweli..??

Imani yako ya kufikiri u genius wa da vinci umekuleteleza kuamini anachokiamini.. hii inamaanisha umeitelekeza sehemu fulani ya nafasi yako ya ufahamu!..

Pamoja na u genius aliokuwa nao Albert Einstein lkn kuna mahali pia kulimpiga chenga!.. quantum theory.

Labda nikuhoji kwa kupitia u genius wa hao unaowaamini nithibitishie uwepo wa Mungu..???
 
Nimesoma andiko zima ila nimependa AYA YA MWISHO.

KUM. 30:19 SUV
Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako
:):)
 
Hongera kwa bandiko mkuu
Ukipata mda uje na mzee wa social contract
Thomas Hobbes
 
Mkuu hebu tuanze hapo kwenye mapozi 12 uliyoona,mbona sioni?
Angalia position za mikono na miguu ukiangalia kwa makini utaona mapozi tofauti mengi. Ni ngumu kuyaelezea kwa maandishi
 
Back
Top Bottom