geophysics
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 904
- 167
Ilelo,na bado...ooooohhh holly shhiiii... am schitying in my pants!! I't uncomfortable....
Ni kwa vile alikuwa anahutubia wakati upepo mkali ukivuma, sio kwamba alitoa machozi. Jana kulikuwa na baridi kali na upepo mitaa hiyo ya Iowa. Hata hivyo, jamaa atashinda tena.
Congratulations to Obama and Obama supporters
True that!Nina imani zaidi na Ohio kuliko Florida.However Florida lazima kutakuwa na matatizo kama ikiwa too close.