The US Presidential Elections-2012

Ni kwa vile alikuwa anahutubia wakati upepo mkali ukivuma, sio kwamba alitoa machozi. Jana kulikuwa na baridi kali na upepo mitaa hiyo ya Iowa. Hata hivyo, jamaa atashinda tena.
 
damn Malia is growing to be a fineee lady :A S-heart-2: BTW he must be really missing Teddy Kennedy in this campaigns
 

Mna lalamika sana! aliyekuambia Obama kamuua Gadhafi ni nani mkuu!? na aliyekuambia kama rais angekuwa Romney angemtetea Gadhafi ni nani??? Toa sababu nyingine za chuki kwa huyu genius lakini sio hiyo mkuu!
 
Obama has nothing to do with dieth of Gaddafi

 
''ERECTION!!!!''
Duh! Hilo neno au mimi sijalielewa??????????????? Maana kwa mtu unayeelea kiingereza sawa sawa neno ERECT= Ni kitendo cha mhogo kusimama!!1 Au nakosea wadau?!
swali linakuja nani anaerectisha huo mhongo???wala hujakosea
 
Where can I get a Kuryan girl to erect me good before erection..?
 

wewe utakuwa uamsho,gadafi aliuawa na walibya wenyewe ambao gadafi aliwait wadudu na gadafi alianza kuua raia wake,alivuna alichopanda,sasa unamsingizia obama
 

Pole sana mkuu! Hata hivyo, dua la kuku halimpati mwewe!
 

Well stated mkuu, whatever happens ni sawa hawa jamaa wanajijali wenyewe na kutifua nchi nyingine, good riddance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…