jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
- Thread starter
- #721
Katy Perry ni wa Wisconsin alipotokea mgombea mwenza wa Romney,Rayan.Jana kulikuwa na mkutano mkubwa huko Wisconsin ambapo Katy Perry aliperform.Kiukweli,vijana ni a voting block ambayo Obama ilimsadia sana 2008 na inategemewa kumsaidia kwa mara nyingine tena.Ni voting block ambayo imezibadilisha sana siasa za marekani ambapo hapo nyuma evangelicals walikuwa na nguvu sana kiasi cha kwamba kama mgombea urais asipopata sapoti yao,basi urais ausahau.Ndiyo block hiyo ambayo ilisababisha kwa kiasi kikubwa Taifa la marekani kuonekana kama ni Taifa la kikristo,ama hata kuonekana kama vile chochote wanachoamuwa Israel basi ndiyo maamuzi ya marekani by default.
Chini ni video ya Katy Perry akiperform jana...
HD Part of Me - Katy Perry - Obama Rally in Milwaukee, WI - YouTube
Chini ni video ya Katy Perry akiperform jana...
HD Part of Me - Katy Perry - Obama Rally in Milwaukee, WI - YouTube