The Tiger Woods Saga and beyond

Kwanini watu wanawahi kuoa? Better yet, kwanini wanaoa at all kama hawawezi kukaa na mwanamke mmoja?


Mambo ya kufuata mkumbi hayo....hukuwa taka na huku wataka.....matokeo yake yote unakosa.....unajua hadi meaning ya ndoa haipo tena maana watu wanaona ili mradi tuu nimeoa au wanaogopa kuwa alone....
 
What makes the woman kicheche ..na huyu bwana yeye bado kwenye hii ishu ni celeb?

Kama kweli wote vicheche tu, huyo mwanamke kicheche kwa kujihusisha na mme wa mtu, na huyo bwana kicheche kwa kwenda nje ya ndoa.

Nafikiri Ab alimaanisha kwamba Tiger (kabla ya kwenda kwa kicheche) alikuwa celeb, na hakuwa na haja ya kwenda kwa kicheche because he has got it made in many ways.

Ab alikuwa anaongelea scenario ya Tiger kama celeb kabla ya kwenda kwa kicheche, kwa jinsi nilivyomuelewa.

Tiger kamuua Tiger, tumebaki na lame dog sasa.
 
mara nyingine mtu unaoa halafu mijicho inakutoka nje inakuwaga inashangaza sana kwanini mtu basi unaoa??

Tanzania masista duh wengi mjini wanafadhiliwa na wanaume waliopo ndani ya ndoa au wake walio katika ndoa je kuna faida gani ya kuoa????
 
na Mabrazameni pia hali ndio hiyo hiyo bora tusioe wengine maana hamna maana kabisa
 
Tiger Voicemail -- My Wife Is Onto Us

Posted Dec 2nd 2009 8:05AM by TMZ Staff
Us Weekly has just posted a voicemail allegedly left by Tiger Woods for his alleged mistress -- Jaimee Grubbs.



In the call, you hear someone who sounds just like Tiger telling Jaimee to remove her name from her own voicemail, because Tiger's wife Elin "went throught my phone and may be calling you."

As we previously reported, Jaimee bragged about her relationship with Tiger to co-workers and even played them this voicemail at work.



Read more: http://www.tmz.com/2009/12/02/tiger-woods-voicemail-jaimee-grubbs-elin-nordegren/#ixzz0YXpIY25p

Cmon! Give Tiger a break! As Onyango Aptly observed decades ago,Ojwang did it,Bill did it,many did it, why cant i did it?Ha ha ha.
 
Wewe ni celebrity, umeoa na bado unapiga simu kwa kicheche halafu unaacha message damn, hawa watu hawajifunzi!.

Kicheche Jaimee Grubbs haipendi kabisa mkuu, lakini kicheche Mwajuma wa sinza kwa Remmy...ina-fit kabisa.
 
Problem is, hawa wanawake aliotoka nao wameshaanza kufanya hii skendo kuwa dili, kama huyu aliyelipwa kutoa hiyo voicemail. Na yeye Tiger mjinga. Hivi kweli alidhani kwa status aliyonayo (public figure) alidhani haya mambo yatabakia private?

Dawa ya haya mambo ni kutokuoa au kutokuolewa. Then you can play the filed all you want. Siyo unaoa/kuolewa halafu bado una stray. That don't make no sense. If you want kids, you can have kids without getting married. You can adopt, you can take care of nieces and nephews and so forth. But not get married and then not be able to handle marriage life and respect the vows you made to your partner.
 
(Hear Voice Message)

"Hey, it's, uh, it's Tiger. I need you to do me a huge favor. Um, can you please, uh, take your name off your phone. My wife went through my phone. And, uh, may be calling you. If you can, please take your name off that and, um, and what do you call it just have it as a number on the voicemail, just have it as your telephone number. That's it, OK. You gotta do this for me. Huge. Quickly. All right. Bye."
 
tiger2_20091130113621_640_480.JPG



Hii ndio gari ya Tiger.
 
tiger1_20091130113619_640_480.JPG


tiger3_20091130113620_640_480.JPG

TMZ has obtained photos of Tiger Woods' SUV just after it crashed into a tree early Friday morning. PHOTO/TMZ

tiger4_20091130113618_640_480.JPG

TMZ has obtained photos of Tiger Woods' SUV just after it crashed into a tree early Friday morning. PHOTO/TMZ

image002_20091130113612_640_480.JPG

TMZ has obtained photos of Tiger Woods' SUV just after it crashed into a tree early Friday morning. PHOTO/TMZ


tiger4_20091130113618_640_480.JPG

TMZ has obtained photos of Tiger Woods' SUV just after it crashed into a tree early Friday morning.
 
Mambo ya kufuata mkumbi hayo....hukuwa taka na huku wataka.....matokeo yake yote unakosa.....unajua hadi meaning ya ndoa haipo tena maana watu wanaona ili mradi tuu nimeoa au wanaogopa kuwa alone....


is a marriage about marrying each other or marry and married?? ("kuoa na kuolewa" )
 
Huyu bwana pamoja na kukana weusi wake bado anajidhihirisha bado ana tabia mbaya za baadhi yetu katika kupenda totoz. Kwangu mimi hana tofauti na wakina marehemu MJ na O.J. He is a fool.

Amandla......
 
Huyu bwana pamoja na kukana weusi wake bado anajidhihirisha bado ana tabia mbaya za baadhi yetu katika kupenda totoz. Kwangu mimi hana tofauti na wakina marehemu MJ na O.J. He is a fool.

Amandla......

Kwani wasio weusi ndio wana tabia nzuri?

Lakini, kwani yeye ni mweusi halisi? Si anajiita Cablinesian...akiwa na maana yeye ni mchanganyiko wa Caucasian, black, na Asian. Sasa kibaya kipi hapo maana yeye anakumbatia asili zake zote. Wewe ulitaka ajiite au ajione ni mweusi tu peke yake wakati hayuko hivyo? Au weusi ni kitu gani hasa maana inawezekana weusi ukawa ni zaidi ya rangi ya ngozi kwa mujibu wa baadhi ya watu...wewe weusi unauchukuliaje?
 
Back
Top Bottom