jamaa amekwisha aga dunia
basi ukiona hivyo anakaribia kufa maana wanasema kuwa airbags zilishindwa kufanya kazi na ..halafu kwa nini wameweka news blackout from the Hospital?
what are they hiding?
Ahhh! Jamani mbona ni majonzi makubwa! Hii ajali kweli au mikono ya watu!? Mwili umeingia baridi sana ahhhhh!
As long as u r black and successfull
u r no 100% safe in u.s.a
katoka hosp kaumia kiasi ila yuko home . Lakini hata hivyo ni muhimu kuleta habari zake hapa huyu jamaa ?Kwa faida ipi ?Huyu si anaukana uafrika wake ?
Aah! watu weusi bwana kila kitu ni uchawi tu. Yaani mtu hawezi kufa au kupata ajali kama wengineo. Duuuh nimechoka
Nyie mko serious au ndio porojo za ijumaa?
watu walikuwa presha inapenda presha inashuka kweli black people we love each other lakini hawa wenzetu nadhani walikuwa wanaomba tu aondoke ili wamuweke pema peponi
Hakuna kuoa usawa huu.
Jamaa alikuwa fresh tu kabla ya kuoa, alipooa tu sasa tunaanza kuona drama.
Hakuna kuoa usawa huu.
Ungekuwa unajua kuhusu baadhi ya Wazungu wanavyowachukia weusi wala usingeshangaa na nilichooandika. Vitisho dhidi ya maisha ya Obama vimeongezeka kwa idadi kubwa sana ukilinganisha na Rais yoyote yule na naamini kwamba vitisho hivi asilimia kubwa vitakuwa ni kutoka kwa Wazungu. Hii inatokana na chuki binafsi za baadhi ya Wazungu kwa weusi. Tiger Woods pamoja na mafanikio yake makubwa bado kuna viwanja ambavyo alikuwa haruhusiwi kucheza kutokana na ngozi yake nyeusi mpaka miaka ya hivi karibuni
Yule Jack Nicklaus alitawala mchezo wa Golf kwa miaka mingi iliyopita na Wazungu hawakuona ubaya wowote ule wa mchezaji mmoja kushinda karibu kila mashindano ya Golf duniani. Baada ya kuingia Tiger Woods kuanza kushinda mashindano mengi wakaanza kudai kwamba mchezo umekuwa boring kwa sababu mshindi mara nyingi ni yule yule. Ukweli ni kwamba Tiger akiwa anaongoza hata number za wanaohudhuria na kuangalia kwenye TV huwa ni za juu mno lakini kwa vile si mzungu basi wengi hawapendi atawale katika mchezo ambao kwa miaka mingi ulitawaliwa na Wazungu tu hivyo kuja na usanii wao wa TW akishinda kila mara basi mchezo unakuwa boring.
Kwa hiyo hao wazungu ndio walimwambia agonge Fire Hydrant na mti?
Kwa hiyo hao wazungu ndio walimwambia agonge Fire Hydrant na mti?
Gee! Jana wakati hii habari ilipokuwa ni Breaking News ulikuwa unalijua hili la kugonga Fire Hydrant!?