somewhere in Tanzania; president of the republic
somewhere in Tanzania; President of the Republic..
what is wrong? one of them is seen to be out of touch with his people, some have even considered him to have been a dictator of sort; the other is liked by a lot of people to the point of being considered a president for life if they have their way.
Tangu lini wakwere wakalima na kupanda miti..you know what wanajua kuimba na kucheza ngoma...mwambie awaimbie nyimbo zote za TOT anafahamu.
Nyerere na watu wa musoma ni wakulima na wafugaji lazima wawe tofauti sana...
Nimependa hizi picha imeonyesha tofauti kubwa sana kiutendaji
Hawa wawili wote ni watu,wameshakalia kiti cha enzi pale magogoni,wametoka chama kimoja cha siasa na mengi tu ya kimaumbile wanafanana. LAKINI WAKO TOFAUTI KAMA MBINGU NA ARDHI.
Leo ndio leo anayesema kesho ni muongo.Duuh!
Bulesi ulikuwa hulijui hilo? Ule mtandao uliweka wengi kwenye payroll tokea kitambo. Ndio maana kuna watu wanapiga vigelegele bila kuchoka.Leo JF mmenifungua macho; nimezifahamu sababu za blog la michuzi kumpamba sana Jakaya kumbe ni mshirika wao wa karibu!! Hapo pichani ndani ya mtumbwi Michuzi anapika kasia lakini mbona maji sio marefu kwani hao wengine wanatenbea tu!
Kama Rais anashiriki kazi namna hii kwa mifano hai, mnadhani ni RC,DC,DED au mtendaji gani atajisahau na kufuga likitambi na kusinzia ofisini?MMM hizi zina counterparts?
Hawa wawili wote ni watu,wameshakalia kiti cha enzi pale magogoni,wametoka chama kimoja cha siasa na mengi tu ya kimaumbile wanafanana. LAKINI WAKO TOFAUTI KAMA MBINGU NA ARDHI.
Hii ndiyo maana halisi ya kuwaongoza watu kwa mfano na sio anachofanya Kikwete sasa.MMM hizi zina counterparts?
When I look closely at the pictures, I am more drawn to the characters around him and cannot help noticing some amused looks and even smirks on some faces. I am wondering if, at all, all those chaps really understood Mwalimu and his mission or were just tagging along waiting for the man's exit so that they can get down to the real business of helping themselves to the spoils of independence.
How else do we explain the rush to dismantle his legacy and turn upside down all that he cherished the moment he left office by the very people who were close to him in his heydays? Including some for whom he even sacrificed his reputation to ensure their ascendacy to the highest office?
This is how Mwalimu explained that rush just before he died:
There are some of my friends who we did not allow to get rich; now they are getting rich and they say `See, we are getting rich now, so you were wrong'. But what kind of answer is that?
Source: http://www.hartford-hwp.com/archives/30/049.html
Mkuu, Hebu angalia hiyo picha vizuri zaidi utajionea kuna uwezekano kuwa jamaa alianza kuwekewa mchanga mweupe pale chini ambao ni rahisi kuufuta tu na kuelekea kwenye huo mkutano lakini naona aliagiza mkeka! Aliyeuleta mchanga wa bahari pale alikasirika kweli juhudi yake yote aisee?Jamani hii si haki hata kidogo yani ku-judge credibility ya mtu kwa picha!!?
Nyerere na Jakaya wametawala katika vipindi tofauti sana,wakati wa Nyerere maendeleo hayakuwa ya kiasi kikubwa kama ilivyo sasa.Kuna uwezekano mkubwa Baada ya kupanda huo mti Jakaya alitakiwa kwenda sehemu nyingine kuudhulia ama kuzindua au hata mkutano wakati huo huo unlike Nyerere kwa wakati huo
Nataka kujua je hii picha ya Nyerere akipanda huo mti alikua shamba au kwenye halfa fulani (maan jamaa alikua mkulima) na defenetely Jakaya alikua kwenye halfa kama angekua shamba na yeye angekua na kofia ya pama kama ya Nyerere