Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,097
- 43,309
- Thread starter
- #21
unajua kinachonisumbua ni kuwa kama mtu unaenda shambani kwanini hutaki kuchafuka? Yaani mtu anataka kulima halafu asitoke jasho na achezee udongo bila kupata vumbi? I have a suggestion.. kwanini asivae nguo za kazi anapokwenda kwenye matukio kama hayo? probably hana hizo nguo!