The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,469
- 17,309
Uganda kujenga km 2700 peke yake ni ndoto za mchana, ni hadith na ngonjera za MU7 kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.
Tanzania miaka 4 sasa kipande cha km 300 Dar-Morogoro kimetutoa jasho, tulianza na pesa za ndani upepo ukakata sasa tumeamua kuomba pesa za mabeberu ili zitusaidie na haijulikani hicho kipande kitaisha lini.