The SGR War: Wakati Kenya wakisuasua, Uganda wameamua kujenga SGR. Hii ni fursa kwa SGR ya Tanzania. Is it viable? Tuichangamkie?

Uganda kujenga km 2700 peke yake ni ndoto za mchana, ni hadith na ngonjera za MU7 kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.

Tanzania miaka 4 sasa kipande cha km 300 Dar-Morogoro kimetutoa jasho, tulianza na pesa za ndani upepo ukakata sasa tumeamua kuomba pesa za mabeberu ili zitusaidie na haijulikani hicho kipande kitaisha lini.
 
Na hizo pesa tulizoomba hatuna uhakika wa kuzipata.
 
Unazungumzia Rwanda Mkuu, Dodoma kwenyewe imefika? Morogoro yenyewe bado kukamilika. Huko Rwanda si habari nyingine? Labda ile simu kwa rais wa China itoe majibu, japo masharti yake lazima yazue balaa.
Hawajali masharti maana hayatawagusa wao
 
Unadhani SGR sio kama kupika chips .tulia kwanza nyie miaka 30 hata jengo moja umeshindwa uanapanga mpaka leo
Paskali nahisi umemka umelewa, umeamka na mada za propaganda si propaganda bali vichekesho vitupu. SGR yetu kipande cha Dar-Moro tuliambiwa mwezi wa Nov 2019 kitakuwa kimekamilika, hadi sasa hakijakamilika na tunaambiwa kitakamilika Aprili 2021! Na kuna tetesi kuwa fedha zinasumbua kwenye huo mradi ndio maana simu ilipigwa kwa rais wa China. Unazungumzia mradi kufika Mwanza huku hata kipande cha 300km kimechekua zaidi ya 3yrs na bado hakijamilika!

Hao Uganda wana mradi wa bomba la mafuta, ilisainiwa toka 2017, na matarajio ingekamilika 2020. Lakini mpaka sasa haujaanza na hata kama ni kuanza ni kwa kusuasua. Sasa hapo unaoongelea mambo ya mradi wa SGR si vichekesho hivyo? Nikikumbuka ule utapeli wa sarafu ya pamoja ya E. Africa, kisha nikiona hizi mada zako kuhusu hawa matapeli, nacheka kwa nguvu.
 
Ni jambo jema!

Lakini sidhani kama tuna mashindano na Kenya mkuu Pascal!
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist , hatushindani, ila ili SGR ijiendeshe kwa faida, ni kupata mzigo wa kushiba,na sio kwa kusafirisha abiria. Catchment ya faida ya SGR ya Kenya ni mzigo wa Uganda na Rwanda, Southern Sudan na North Eastern DR Congo kupitia bandari ya Mombasa.

Ili SGR yetu ijiendeshe kwa faida, ni lazima ipate mzigo wa kushiba kupitia Dar Port, hivyo any additional cargo, ni fursa!, fursa are up there for grab, na sio kushindana bali kuchangamkiwa!.
P
 
Nimekuelewa mkuu!
 
Asilimia kubwa ya mzigo unaopita bandari ya Dar ni wa Congo. Ujanja ungekuwa kuwahi mzigo wa Congo kupitia Kigoma. Kupitia njia nyingine yoyote ile ni kuongeza gharama na mzunguuko. Kigoma is a direct shot. Mjerumani aliliona hilo na Muingereza pia.
Japo sio kweli kuwa asilimia kubwa ya mzigo unaopita bandari ya Dar ni wa Congo DRC, mzigo mkubwa wa Dar Port ni unaovuka Tunduma!. Ila kwenye long plan ya SGR yetu itafika Kigoma.
P
 
Ingejulikana hivyo ingebidi uwanja wa KIA uongezwe ukubwa maana usingetosha kupokea ndege za watalii!
Nafikiri biashara ya utalii hujaifuatilia kwa ukaribu, uwanja wa KIA ni njia mojawapo ya mtalii kuingian Tanzania. Mtalii anaweza kuingia kupitia mipaka ya nchi jirani na hii ndio njia inayoingiza watu wengi, pia viwanja vya ndege. Lakini kusema kuwa mkenya anaweza kudanganya mlima kilimajaro upo kenya ni ngumu. Sababu hata booking za kupanda mlima zinafanywa na mawakala wa utalii ambao kumdanganya mtalii kwao ni kupoteza pesa.
 
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist , hatushindani, ila ili SGR ijiendeshe kwa faida, ni kupata mzigo wa kushiba,na sio kwa kusafirisha abiria. Catchment ya faida ya SGR ya Kenya ni mzigo wa Uganda na Rwanda, Southern Sudan na North Eastern DR Congo kupitia bandari ya Mombasa.

Ili SGR yetu ijiendeshe kwa faida, ni lazima ipate mzigo wa kushiba kupitia Dar Port, hivyo any additional cargo, ni fursa!, fursa are up there for grab, na sio kushindana bali kuchangamkiwa!.
P

Nimecheka kwa nguvu hiki unachoandika hapa Paskali, unazungumzia faida ya SGR kwani hata imekamilika hiyo SGR? Nakumbuka ile siku ya uzinduzi wa bomba la mafuta Chongoleani Tanga, nilimsikia rais akipiga faida ya kodi ya mapipa ya mafuta tutakayoanza kupata kuanzia hii 2020 mradi ukishakamilika. Akawa anaoonyesha na sehemu pesa zitaiingia baada ya 2020, watu wakawa wanarukaruka kama wendawazimu. Kwakuwa nilikuwa namjua Museveni nitapeli nilikuwa nacheka kwa nguvu. Leo hii yako wapi kuhusu mradi wa bomba la mafuta, zaidi ya juzi Museveni kuja kumpigia kampeni Magufuli kwa kisingizio cha huo mradi? Unachoongea hapa Paskali ni zile porojo za ma Motivational speakers.
 
Tuhuma za wizi ukazitolee wapi kwa mfano? Kura za kwenye mabeg ndio wananchi? Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Hayo mabegi si mlitakiwa muyatunze ili yawe kielelezo mahakamani? Na kwa nini mabegi yawe Kawe tu? Najua utakimbilia kusema huna imani na mahakama,shame on you.
 
Back
Top Bottom