nimekuchagua wewe,
uwe wangu,
wangu wa maisha,
wa kufa na kuzikana,
usijali mengi,
wasemayo,
wewe ni wangu,
wa kufa na kuzikana
i love you!!!!!!!!!!
I need somebody aniimbie kawimbo kama hako mzee wa mikopo lukuki isiyolipika aliomwimbia mfilisi wake.
Natamani masikio yangu yasikie kawimbo ka kuniburudisha this time of the weekend.
Vipi NECTA wamesemaje kuhusu matokeo yako ya form four, kanambia The secretary leo asubuhi kuwa ulienda kufuatilia, nilikuwa sijui kuwa ulikuwa unajiendeleza ukubwani kama yule mwenyekiti wa zamani wa Simba...
Bishanga nina wivu wa nini?
Sitaki hata wimbo wako,
Mkwe wangu Nicas Mtei, please sing a song to me mama mkwe wako.
Nicas Mtei mkwe wako kwa nani?
Kwa mwanae
Mapenzi ni kikohozi,hayafichiki.