Pretty
JF-Expert Member
- Mar 19, 2009
- 2,579
- 573
bonge la shela mtot kavaa ...lina mkia huku mnaita ...tausi
.....hii fasheni ya tausi ilikuwa zilipendwa, ila nadhani itarudi kwa kuwa Kate kavaa. Haya misa ya ndoa inaanza sasa.
bonge la shela mtot kavaa ...lina mkia huku mnaita ...tausi
![]()
Muuza sura yupo kwenye tuxido!!
.....hii fasheni ya tausi ilikuwa zilipendwa, ila nadhani itarudi kwa kuwa Kate kavaa. Haya misa ya ndoa inaanza sasa.
akamege mara ngapi wakati alikuwa nacho miaka 7 nyuma leo anakamilisha taratibu tuDaaah....jamaa atakamega leo hako kamdada......
Daaah....jamaa atakamega leo hako kamdada......
Nashukuru kwa kuliona hilo mie nilikuwa napata kigugumizi cha kusemaKate kumbe kamuwinda jamaa kwa miaka 10? Walikuwa wakiachana na wanarudiana tena..... Ila bibie kimemsaidia kuwa walikuwa wakiachana, alikuwa haendi kubwabwaja ovyo mitaani huko kuhusu William. Naona hii imemsadia kuolewa na hadi leo kuwa HAI.
Kembemba hako ila NIDO ni moto, waswahili wanasema SAA SITA.
akamege mara ngapi wakati alikuwa nacho miaka 7 nyuma leo anakamilisha taratibu tu
Hahahaaaa, Mami wee vipi? Amege leo? Kwani wiki jana alikuwa akifanya nini?
Kama unafikiri kuna mambo ya SHUKA NYEUPE basi sahau.
Ila sijaiona tu ASTON MARTIN.
Labda Mchungaji Masa ambaye yupo hapo Mjengoni kuwakilisha kanisa lake atatueleza kwanini AM halipo kwenye list ya magari yaliyopo hapo kwenye harusi. Watakuwa na bahati mbaya sana kama ma PM Tony Blair na Gordon Brown.....