Hiki Kibibi bana, si kingelimwachia tu miaka hiyo Charles amuowe Camilla wake?
Hatimaye bibi leo kaingia kama Mama wa William na kupewa heshima zote.........
Kimama kweli kilikuwa Ki-Fundamentalist kikali sana na nafikiri Diana kakibadili maana kwa William hajaleta maneno.
Waingereza sasa wanatangaza tu MAGARI yao maana hakuna gari lolote linalotengenezwa nje ya UK.....
Hata Jaguar wameiondoa maana ilishauzwa tayari. Kweli hii ni MAONYESHO YA BIASHARA na siyo HARUSI.
Kila la kheri kwa MAHARUSI ila siwaonei gere kwa harusi yao..........