Heshima mbele sana,
- Wakuu tunapokata ishu tuwe tunajali kwamba hoja zetu zinawafikia wananchi wengi wanaokuja hapa kutafuta elimu ya taifa lao, sasa tukiwa-mislead ndio matokeo yanakuja kuwa tofauti na wananchi kukatishwa tamaa. Hivi ni kikao gani cha CCM leo mwaka 2009 kitakacho mpitisha mgombea mwingine over the sitting president? Toeni mifano, tizama nchi fulani rais aliondolewa na chama chake kabla ya kumaliza term ya pili, hivi yamewahi kutokea wapi zaidi tu ya SA ambako hata na wao hakieleweki?
- Mimi binafsi reading between the lines, kwa maoni yangu ni kwamba ndani ya CCM kumekua na makundi ya kisiasa na in itikadi, I see nothing to be wrong with that, isipokuwa kuna kundi moja ambalo limekuwa likihangaika sana na kutaka urais by 2010, sasa walichokosea so far katika nia yao ni kushindwa kushawishi makundi mengine dnani ya CCM kuwaunga mkono, infact wala hawakuwahi kujaribu kuwa-consult, beleiving kwamba wanazo nguvu za kutosha, sasa ninachoona ni kwamaba kuna rebellious ya makundi mengine against hili linalotaka urais na inatokana hasa na tabia zao walizokwisha zionyesha tayari katika uongozi wa juu.
Lakini kuna kitu kimoja muhimu sana hapa, miezi 8 iliyobaki, ni mingi sana kisiasa, anything can happen, ila for now hao wanaotaka kupingana na rais wa sasa, wamehairbu big time kwa sababu sasa wamempa mwanya rais wa sasa ku-mobilize wana CCM wote kwa kisingizio cha kutaka kuharibiwa na mafisadi, in the process hakuna atakayeuliza record yake, ila itakuwa wimbo wa kupigana na mafisadi tu, atakusanya wote maana ni wimbo mzuri sana kwa wasioelewa kitu.
Mungu Aibariki Tanzania.
FMES!
I am sick and tired of this type of politics!!!! It says a lot about our politics!!! sucks!!!
Gembe,
Mkuu kweli kabisa mimi ni mmoja kati ya watu wanaoamini hakuna mgombea zaidi ya Kikwete.. Ndio ukweli ndani ya chama hicho na kama wewe unaye mtu mwingine - mtaje, simple as that... Madudu yote ya CCM wahusika ni viongozi wote akiwemo huyo unayemfikiria na hakuna hata mmoja aliyesimama na kufanya tofauti hadi sasa hivi.
Nchi nzima imedumaa, Kikwete anapingwa na wengi kwa kutofanya yale aliyoahidi sasa nambie nani kati ya viongozi wa CCM ametimiza yale aliyoahidi kwa wananchi wake..Kila mmoja wao ana mapungufu tena makubwa zaidi kwa kila ahadi, wote wamejikita ktk siasa kuliko vitendo..
Licha ya yote haya, Mwinyi hakuwa na mshindani, Mkapa hakuwa na mshindani, hawa wote wameoza..iweje Kikwete aliyesinyaa ndiye mfikirie anatakiwa kuwa na mshindani..Ama hizi ndio kampeni za Lowassa/Rostam!..
Kama huyo mgombea wako anashindwa kufanya mabadiliko leo hii CCM wakiwa madarakani ataweza vipi akiwa pekee maanake waoandamana ni wana CCM wenyewe wapiga kura..
...Something is Definitely Cooking! Kwenye taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku kuna habari tatu zilizotokea maeneo tofauti nchini lakini zenye muelekeo mmoja:
1. Vijana CCM Dodoma wameandamana kuunga mkono maneno ya Mzee Cigwiyemisi ya kutaka Mheshimiwa Kikwete apewe nafasi nyingine tena ili kumaliza kazi alizoanza e.g kupiga vita Ufisadi, wauaji wa Albino.
2. Akina mama wa Wilaya moja ya Moshi nao wametoa tamko kama hilo hilo la kutaka Kikwete kuwa mgombea pekee wa Urais kutoka CCM
3. Kuna wazee kutoka Wilaya nyingine nchini ambayo bahati mbaya sikusikia jina lake nao wametaka Mheshimiwa Kikwete kupewa nafasi ya kumaliza kazi alizoanza!
Nafahamu kwamba hakuna tatizo lolote kwa taarifa moja ya Habari kuwa na matukio matatu kutoka maeneo matatu tofauti nchini TZ yote yakihusu Mheshimiwa Kiwete kuwa mgombea pekee wa Uraisi kutoka CCM, but it just makes one raise an eyebrow....!
Kuna kitu kinaitwa Ilani za CCM moja kati ya ilani hizo ni kuwa mtu kugombea uraisTANZANIA ijapokuwa hii inatumia Mainland ni lazime apate elimu ya UNI kwa upande wa ZANZIBAR wao huwambiwa hawahitaji mtu mwenye elimu alimradi awe na akili tu isiyopunguwa kiwango cha muuza Gederi kwa mana nyingine uzowefu sasa narudi kwenye hili la karume kuwa Rais TANZANIA sidhani wasomi wa kule bara kama wapo tayari kupandishwa Rikwama (Mkokoteni )hasa katika dunia ya leo
Sijui ni kwanini watanzania wana miyoyo thaifu kiasi hiki, nasema hivi kwa sababu kila mmoja anajua kuwa kwama ni uongozi ktk nchi hii kwa sasa hakuna anayeweza kumfikia MAGUFULI sasa kwanini tusimjaribu japo huyu tukaona,tatizo letu wana CCM hatumtaki kabisa kiongozi mkweli.mfano si mlishuhudia yaliyomtokea Agustino L Mrema?
Upo dunia ya leo? Karume ni Doctor kama kina Nchimbi tena doctorate yake inatoka mitaa ya aliko Mkuu Obama.
Heshima Mbele
Habari nilizozipata hivi sana ni kuwa wzee wa CCM wamekaa na kukutana na waandishi wa habari na kusema kuwa hakunakiongozi mwingine ambaye ana sifa zinazofanana na kikwete.
Hivyo wmasema asijitokeze mtu mwingine wa kumpiga 2010
Mie nimepatwa na mshtuko sana.Inawezekana hakuna kiongozi mwenye sifa kama za JK?Yes ndiyo inawezekana kwa kuwa sifa alizonazo tunazijua.
Hawa wazee ni nja inayoswasumbua tu,yaani tumefika hapa kweli?
watu tunasupport mambo kwasababu ya utashi wetu?
Kwa kuwa ni wazee wa CCM?NO WAY
Huu ndiyo utu uzima??watu wanakuja tu na kusema mabo ambayo yanakataza haki za watu?Nchi hii kama ikiendelea hivi basi maendeleo tutayasikia kwa wenzetu tu
My Take:
Hao wazee wamechanganyikiwa na Siye kama wananchi tumerogwa!Haiwezekani Maisha ni magumu kama hivi sasa na hakuna suluhishi la mambo muhimu ya kiuchumu na kitaifa mtu anajitokeza na kuongea haya?
Tanzania yenye wazee wa aina hii Haiwezekani,Chukua hatua kwa kukataa mawazo mbaaya ya hawa wazee