Mgombea binafsi wa uRais? Yaani mtu atoke huko na hisia zake binafsi na aongoze nchi? Yaani tuongozwe na hisia binafsi? Kwa kisa gani hasa?
Siamini kuwa kuna tija yoyote zaidi ya madhara kama tukiwa na Rais atakaechaguliwa bila kutoka kwenye chama au taasisi yenye mfumo thabiti wa uongozi. Kuwa na mgombea wa kuteuliwa na chama chake, inatuhakikishia kuwa anafuata sera zinazoaminika, zinazokubalika, zinazoweza kudumu na zenye tija kwa Taifa. Mtu binafsi akichaguliwa kuwa Rais anaweza kuji-control hasa katika masuala ya ethics, policies na kutekeleza mambo sustainably? I doubt.
Recta,
Haya mawazo yako ndio yale yale yaliyotufikisha hapa tulipo.
Sisi wote ni wanadamu tu. Kila mmoja anatawala kwa mawazo na hisia zake.
Hata Kikwete pia hapa anatawala kwa hisia na matakwa yake. Ndio sababu alilala siku moja akaamua vile visenti walivyokwiba na kuvirudisha ziende kwenye benki fulani na zisaidie wakulima.
Ndio sababu aliamua kutoa mipesa kwa kila mkoa shilingi bilioni. Nadhani kwa kuigiza ile sera ya John Cheyo(LOL).
Ni mawazo yake na hisia zake tu zilikuwa zikimtuma kufanya yote hayo.
Sasa unaposhikia bango mgombea binafsi kwa hoja zako ninazoziona hapa naona unaturudisha kule kule kwamba kama unataka kuwa kiongozi wa nchi hii ni lazima utoke kundi fulani. Tena kama wewe si wa kundi hilo au kundi hilo halikulidhii basi usiote kupata uongozi wa nchi hii.
Huku ni kujidanganya tu!
...Something is Definitely Cooking! Kwenye taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku kuna habari tatu zilizotokea maeneo tofauti nchini lakini zenye muelekeo mmoja:
1. Vijana CCM Dodoma wameandamana kuunga mkono maneno ya Mzee Cigwiyemisi ya kutaka Mheshimiwa Kikwete apewe nafasi nyingine tena ili kumaliza kazi alizoanza e.g kupiga vita Ufisadi, wauaji wa Albino.
2. Akina mama wa Wilaya moja ya Moshi nao wametoa tamko kama hilo hilo la kutaka Kikwete kuwa mgombea pekee wa Urais kutoka CCM
3.Kuna wazee kutoka Wilaya nyingine nchini ambayo bahati mbaya sikusikia jina lake nao wametaka Mheshimiwa Kikwete kupewa nafasi ya kumaliza kazi alizoanza!
Nafahamu kwamba hakuna tatizo lolote kwa taarifa moja ya Habari kuwa na matukio matatu kutoka maeneo matatu tofauti nchini TZ yote yakihusu Mheshimiwa Kiwete kuwa mgombea pekee wa Uraisi kutoka CCM, but it just makes one raise an eyebrow....!
BabaDesi
Wanabodi, nini kinaendelea ndani CCM kwa sasa? Kunani? Takribani wiki mbili sasa, wana CCM, kuanzia Malecela hivi majuzi alipokuwa akiongea na waandishi wa habari, na sasa makada mbalimbali wa CCM wiki hii wameendelea kuibuka na kusisitiza kuwa mgombea wa CCM 2010 ni JMK pekee, hakuna mwingine. Is this necessary, especially now?
Huu ujumbe wanamfikishia nani? Au habari za mitaani ndio habari kamili? Kunani? Kwa kumbukumbu zangu, bado sijamskia mwanaCCM yeyote (hata JMK mwenyewe) kutamka waziwazi kwamba atagombea 2010, japo inatarajiwa.
CCM, siku hizi wamekuwa watu wa kufikishiana ujumbe kwenye mikutano ya hadhara na vyombo vya habari. Zamani, wimbo ulikuwa ni kwamba, ukiwa na jambo, fuata utaratibu rasmi wa vikao. Katiba ya CCM kwa sasa inasemaje? Je, majukwaa ya hadhara na vyombo vya habari ni sehemu ya utaratibu wao wa kupashana habari?
Who is Scaring Who, this Early?
Can someone one tell us What's Going On?
Hayo ni mambo ya kawaida tu na hayo aliyoyasema mzee Malecela ni mawazo yake binafisi na hata yale mawazo yanayotolewa na baadhi ya makada pia ni mawazo binafsi hilo la vikao ni suala linalojadiliwa katika vikao na wakati utakapofika vikao vitajadili na kufanya maamuziWanabodi, nini kinaendelea ndani CCM kwa sasa? Kunani? Takribani wiki mbili sasa, wana CCM, kuanzia Malecela hivi majuzi alipokuwa akiongea na waandishi wa habari, na sasa makada mbalimbali wa CCM wiki hii wameendelea kuibuka na kusisitiza kuwa mgombea wa CCM 2010 ni JMK pekee, hakuna mwingine. Is this necessary, especially now?
Huu ujumbe wanamfikishia nani? Au habari za mitaani ndio habari kamili? Kunani? Kwa kumbukumbu zangu, bado sijamskia mwanaCCM yeyote (hata JMK mwenyewe) kutamka waziwazi kwamba atagombea 2010, japo inatarajiwa.
CCM, siku hizi wamekuwa watu wa kufikishiana ujumbe kwenye mikutano ya hadhara na vyombo vya habari. Zamani, wimbo ulikuwa ni kwamba, ukiwa na jambo, fuata utaratibu rasmi wa vikao. Katiba ya CCM kwa sasa inasemaje? Je, majukwaa ya hadhara na vyombo vya habari ni sehemu ya utaratibu wao wa kupashana habari?
Who is Scaring Who, this Early?
Can someone one tell us What's Going On?
Hawa unaowasikia wanampinga Karume ,maana Karume anatayarishwa kuchukua nafasi ya Kikwete ,ikiwa Kikwete ataamua kuachia ngazi ,ila wapo katika kutoa ishara kuwa hakuna sababu ya Kikwete kuachia ngazi, kama unakumbuka Mwinyi alipomaliza kuwa Raisi wa Zanzibar alipewa wa Tanzania na ndio hivyo hivyo ,kama unavyofahamu taratibu za CCM ,ili kujificha na ile dhana kuwa Zanzibar haipewi uongozi wa Tanzania ,ndio inaonekana kuwa Karume apishwe katika kipindi hiki au hata Kikwete akimaliza miaka kumi yake kama akiipata apewe Karume.Ni utaratibu wanaosema wamejipangia au wameamua kuurudisha ili kudumisha muungano.
Wewe Mwiba, nani kakuambia Karume anasifa za kuwa rais wa Tanzania? Unaacha kuangalia watu wenye uwezo na mtizamo? huyo sana sana labda kuwa mkuu wa mkoa tu.
Hawa unaowasikia wanampinga Karume ,maana Karume anatayarishwa kuchukua nafasi ya Kikwete ,ikiwa Kikwete ataamua kuachia ngazi ,ila wapo katika kutoa ishara kuwa hakuna sababu ya Kikwete kuachia ngazi, kama unakumbuka Mwinyi alipomaliza kuwa Raisi wa Zanzibar alipewa wa Tanzania na ndio hivyo hivyo ,kama unavyofahamu taratibu za CCM ,ili kujificha na ile dhana kuwa Zanzibar haipewi uongozi wa Tanzania ,ndio inaonekana kuwa Karume apishwe katika kipindi hiki au hata Kikwete akimaliza miaka kumi yake kama akiipata apewe Karume.Ni utaratibu wanaosema wamejipangia au wameamua kuurudisha ili kudumisha muungano.
Nikukumbushe tu kuwa John Shibuda alishatangaza nia yake ya kugombea hiyo nafasi ya urais mwaka 2010., especially now?
Huu ujumbe wanamfikishia nani? Au habari za mitaani ndio habari kamili? Kunani? Kwa kumbukumbu zangu, bado sijamskia mwanaCCM yeyote (hata JMK mwenyewe) kutamka waziwazi kwamba atagombea 2010, japo inatarajiwa.
Hata ukuu wa mkoa ni kumpendelea tu tena upendeleo wa wazi na hasa mkoa wenyewe ukiwa kama dar = chaos ... maana idadi ya watu ni zaidi ya mara tatu ya wale wanaomshinda kuwaongoza sasa, kwa hiyo inafaa kumuonea huruma na kumpumzisha kabisa, au kama anapenda sana madaraka awe mshauri wa mgambo... tosha
-----------
Tuna kazi ya kutafuta kazi