The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

The Road to The 2014 FIFA World Cup - Brazil

Status
Not open for further replies.
jamani nataka kufahamu kama azam wana mpango wa kuonyesha mashindano haya ambayo ni makubwa duniani
 
Kumbe la dunia halioneshwi dstv ila kombe la dunia ndo litaoneshwa.
 
kombe linakuja Africa kwa mara ya Kwanzaa bookmark it
Tutainunulia fremu hii comment hehehehe na timu ya Africa ikishinda kombe la dunia tutawaomba Jamiiforum wapeleke Jumba la makumbusho Tanzania kuhusu hii Comment ilikuwepo Jamiiforum. Ghana na Ivory Coast ndio tunawatakia kheri hizi zaidi.
 
Ni timu nne tu ndio zinaweza/zina nafasi ya kupata kombe pale brazili.
1. Argentina
2. Spain
3. Brazil
4. Italy
Timu zitakazo cheza vizuri na kutoka patupu, German, Belgium, Uruguay, na Nigeria.

Mechi za kundi F ndio kundi litakalo kuwa na magoli mengi kuliko kundi jingine lolote. Argentina kwenye kundi hili itapata zaidi ya goli 9, mmoja kati ya Messi, na Kun Aguero ndio atakuwa mfungaji bora wa mashindano.
. hizo Top 4 zote haitoshinda kombe la dunia kombe la dunia likiisha rudi kwenye hii comment utaona hizo Top 4 hazitoshinda siku hizi watu hawaogopi majina mkuu ila Ujerumani,Belgium uwezo upo, Uruguay watacheza vizuri ila hawatoshinda na Nigeria watoe Kabisa hata kucheza vizuri timu za Africa zinafanya vizuri ni Ghana na Ivory Coast na kuhusu kuibeba Kombe la Dunia sijui ila Mie Naomba lije Africa ila moyo wangu unasema linaenda Europe ila sio Spain sijui wapi ila linaenda Europe! Brazil Game ya Kwanza atafungwa na Crotia au Draw tutaona Naymar anagaragara na kula majani tu.
 
Baada ya kuwaona Brazil majuzi nimeamua kuwa team Spain na timu zote za afrika kasoro algeria....
 
Team Iniesta for life......Zidane mwenyewe kazima fegi kwa huyu jombaaa.......
 
. hizo Top 4 zote haitoshinda kombe la dunia kombe la dunia likiisha rudi kwenye hii comment utaona hizo Top 4 hazitoshinda siku hizi watu hawaogopi majina mkuu ila Ujerumani,Belgium uwezo upo, Uruguay watacheza vizuri ila hawatoshinda na Nigeria watoe Kabisa hata kucheza vizuri timu za Africa zinafanya vizuri ni Ghana na Ivory Coast na kuhusu kuibeba Kombe la Dunia sijui ila Mie Naomba lije Africa ila moyo wangu unasema linaenda Europe ila sio Spain sijui wapi ila linaenda Europe! Brazil Game ya Kwanza atafungwa na Crotia au Draw tutaona Naymar anagaragara na kula majani tu.

italia hufanya vizuri pale wewe usipotegemea. Unaikumbuka italia 1994 ya Arrigo Sacchi,? Italy hii ya sasa haina tofauti na ile ya sacchi. Argentina hawatishi kwa jina tu, wachezaji wake wengi wanachezea vilabu vikubwa dunia...ndio timu yenye washambuliaji wakali kabisa dunia. Messi, Kun Aguero, Higuein, Lavezzi, na Di Maria.

Spain huitaji kuwa na elimu kujua quality yao. Ni mabingwa europa mara mbili mfululizo na ni mabingwa wa dunia watetezi. Wanawachezaji wa viwango vya juu. Brazil wao wapo home. Nayo ni advantage kuchezea nyumbani.
 
Chama langu!
 

Attachments

  • 1402238202483.jpg
    1402238202483.jpg
    53.1 KB · Views: 77
  • 1402238278671.jpg
    1402238278671.jpg
    50.4 KB · Views: 66
  • 1402238300022.jpg
    1402238300022.jpg
    49 KB · Views: 69
  • 1402238321229.jpg
    1402238321229.jpg
    50.4 KB · Views: 68
  • 1402238338525.jpg
    1402238338525.jpg
    58.4 KB · Views: 61
Tutainunulia fremu hii comment hehehehe na timu ya Africa ikishinda kombe la dunia tutawaomba Jamiiforum wapeleke Jumba la makumbusho Tanzania kuhusu hii Comment ilikuwepo Jamiiforum. Ghana na Ivory Coast ndio tunawatakia kheri hizi zaidi.

Lol Fifa wakiona kombe linakaribia kuja Africa wataanza kuleta mtima nyongo kama wanavyowaletea Qatar World Cup 2022.
 
Ni timu nne tu ndio zinaweza/zina nafasi ya kupata kombe pale brazili.
1. Argentina
2. Spain
3. Brazil
4. Italy
Timu zitakazo cheza vizuri na kutoka patupu, German, Belgium, Uruguay, na Nigeria.

Mechi za kundi F ndio kundi litakalo kuwa na magoli mengi kuliko kundi jingine lolote. Argentina kwenye kundi hili itapata zaidi ya goli 9, mmoja kati ya Messi, na Kun Aguero ndio atakuwa mfungaji bora wa mashindano.

wewe semi final ni belgium,england,spain na argentna top scorer nakubaliana na wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom