The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

Define "too personal"
sioni unchotetea hapa..jipange..RC aliahidi mengi lkn aghalabu kuyaona..mwaka 1 akiwa RC nilitegemea walau angekuwa na hasira juu ya miundo mbinu mibovu..yani barabara za mitaani ndani ya jiji hazifai..haziakisi hadhi ya jiji la DSM ukiachilia mbali vitu vingine vya kiufundi zaidi alivyoviainisha mtoa mada...mipango inatakiwa iwe na kipaumbele..ebu tujuze nani anajua vipaumbele vya huyu RC?
 
Mkuu katika hili naona umekuwa too personal on the man RC Makonda. Hakuna aliye mkamilifu though, hata wewe uliyetuletea hii mada.
Na nikiangalia IN BETWEEN the lines naona umejaa
MALICE/Fitina!
WIVU
Innuendo na
INCOMPREHENSIBLE narrative kuhusu nini RC Makonda atimize katika jiji letu.

Unaposema atupe HEWA safi, SIKUELEWI Una maana gani ?Eti good Transport system kama ya Ethiopia nakushangaa zaidi!

Hata UNADAI jijini tupewe FREE WIFI kwa ajili ya MITANDAO na raha za watu kama wewe. Mimi si msemaji wake lakini mahali palipo na FITINA na WIVU lazima tuzungumze!
YOU ARE BEING UNFAIR to HIM to say the least!

Ni kweli ana mapungufu yake, hata hivyo si MAKUBWA as you want us to believe! Hayo mambo uliyoyataja yote yanahitaji HELA na kila kitu kina bajeti yake.
Sasa ndugu RC Makonda kama Makonda where will he be able kupata fedha nyingi hivyo na kutimiza hayo yote uliyo ya outline kama FAILURE yake?
Let us be HONEST to ourselves bila prejudice.
This guy Makonda ni MCHAPA KAZI. No question about that!

Na kama unavyosema eti ni ANTI wafanya biashara that is a lie/ si kweli.
Hawezi kuwa kiongozi wa Mkoa huku akipiga vita wafanya biashara. Je waliomba audience naye AKAKATAA kukutana nao?

Mimi naona hii issue ya kuzuia biashara ya UVUTAJI wa SHISHA miongoni mwa mambo mengi mazuri anayoyafanya ndo inamfanya awe na MAADUI wengi ikiwamo wewe uliyeandika mada hii.
Basi nitasema hivi:
This could be but the beginning of the RISE and RISE of RC Makonda to the greater heights! Wivu UNAUWA Achana nao!!
He is not perfect though just like you and me hold your peace!

Acha mbwembwe...mtoa mada kasema ashirikiane na private sector kufanya haya mambo,na ni doable...

Usitake kumtetea na viingereza vingi...mtoa mada labda katumia lugha kali ila vyote alivyosema ni sahihi na ndio vitu muhimu...wewe na yeye mpo sawa tu maana na wewe umetoa hoja zako kwa majigambo na fitina kama yeye...

Vyote alivyotaja ni doable,tusitake kutetea kila kitu...na pesa mtoa mada kaonesha pa kuzitoa clearly,mengine ni wewe tu na beef zako
 
Kwenye jiji kubwa kama Dar es alaam unahitaji team work na kujenga mazingira ya kuifanya hiyo team ijitume.
Uisimamie team iset vision ambayo itatake into account interests za groups zote.

Kwenye team yako unahitaji isheheni kila aina ya CV ambazo jiji linahitaji. And then, make them work and always tick the achived objectives. As simple as that!
Mimi namponda Trump lakini angalia anavyoiembrace white house, almost perfect kwenye sense ya utendaji.
Angalia transition team yake na vision ya 100 days in office. And the beauty of it all, ameelezea yote kwenye online video clip of less than three minutes.
 
If you want to test a man's character give him power

ABRAHAM LINCOLN

Unaccommodated man is no more but such a poor bare,
forked animal
KING LEAR : Act III, scene iv
​

Sipendi kuandika political obituaries lakini kwa huyu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (Paul Makonda ) Sidhani kama atamaliza ngwe yake na Magufuli let alone kama atamaliza miezi 12 mayo katika jiji la Dar es salaam kama mkuu wa mkoa kwa sababu naamini kabisa kuwa Rais Magufuli kashaona kuwa Makonda isnt up to the job na mbaya zaidi Magufuli kashashtuka na hataki tena haya mambo ya kusifiwa sifiwa na kupambwa badala yake anataka kuona results baada ya kumpa cheo kuongoza jiji lenye watu karibu milioni 10.

Maguli alimpatia ukuu wa Mkoa wa Dar baada ya Makonda kuonyesha kumpa illusion kuwa ni mchapa kazi lakini ukweli usiopingika ni kuwa Makonda has failed na sasa hivi tumeishia kupewa PR stunts, na maneno mengi yasiyo na substance.

Jiji hili ambalo lina historia na ambalo limetoa vigogo wa kila namna linahitaji mkuu wa mkoa ambaye anaendana na dunia na karne hii tuliyonayo.

So far jiji bado ni chafu, ombaomba wako palepale, foleni na traffic lights zisizofanyakazi, hakuna law wala order, marengo yanajengwa bia mipangilio huko kwenye Central Business District (CBD), kodi zinakusanywa lakini wana Dar es salaam hawaambiwi wala kuonyeshwa mchanganuo wa matumizi wa kodi zao, hakuna transparency, jiji halina strategies wala policies za mambo ya climate change, hakuna strategies za kuongeza nyumba kwa wakazi wa hili jiji (na affordable) na kuondoa ma chaka na slums ya Buguruni, Mwananyamala kinondoni, Ilala, temeke, etc.

Makonda kashindwa kutuletea alternative Transport strategy na policy (kakuta DART) na hajaja na mango wowote wa kuendeleza usafiri walau Dar ikawa na network ya light rail kama walivyofanya Addis au kuongeza na kuboresha barabara zilizopo ili ziendane na ukuwaji wa watu kwenye hili jiji, na usafiri hapa nazungumzia za waenda kwa miguu, baiskeli na magari.

Paul Makonda kashindwa kuja na mikakati yoyote ile ya kusaidia kuwa na Dar es salaam ambayo in hewa safi kwa wakazi wake. Hivi how hard is it for him kushirikiana na January Makamba (waziri wa mazingira) ili kuwepo kwa comprehensive strategies za kutunza mazingira? Mfano jiji la Dar halina power points za ku chat magari ya umeme, hakuna operesheni ya kueleweka ya kupada na kutunza mimi, Makonda kashindwa kuwahizimisha na kutoa incentives ma wajenzi kutumia umeme mbadala wa solar na wind.

Mbali na hayo hana strateges zozote zile kuvuta wawekezaji wa viwanda kama vya ku assemble Solar na vinginevyo kwenye hili jiji wala hana mipango yoyote ile ya kuvutia watalii kwenye hili jiji ambalo watulii hutumia kukaa kwa siku moja kisha wanaenda zao Arusha au Zanzibar. Hili ni jiji ambalo lina historia na vivutio kem kem na linaweza kuongezewa vivutio vingi zaidi ili wall mtalii on average awes ku spend more days hapa Dar na kutumia wastani wa dollar 100 per day hapa. In addition, Makonda amefeli kwenye kuboresha Ulinzi na usalama wa hili jiji kwani sasa hivi wakazi wa Dar hawajiskii salama kutoka nje usiku na hata aliyoko ndani ya gari anaogopa kusimama kwenye traffic lights kwa kuogopa majambazi.

Hivi kuna ubaya gani wananchi wakawa organised na kuambiwa wachangie kwenye mambo ya neighbourhood policing? Mrema aliweza na police posts in the 1990's sasa sielewi leo haya mambo yanashindikana. Wananchi kila wakiona polisi ni ama watakamatwa na kusingiziwa kesi na hivyo wananchi wa hili jiji police badala ya kuwa rafiki wa wananchi wanaonekana kuwa wanashirikiana na majambazi.

Hapo zijazungumzia vikosi veytu vya zimamoto ambavyo haviko up to standards. Zimamoto zinatakiwa kuwepo kwenye kila kata ya hili jiji lakini hakuna mipango hiyo na hata habari Mkaonda hana.

Ofisi yake pia imeshindwa kushirikiana na kampuni mbali mbali za teknolojia wakaweka super fast Free Wifi maeneo mbali mbali..

Kuhusu Culture na nisiseme kwani sasa hivi the only cultural thing ambacho ofisi yake inakifanya ni matamasha ya fiesta na nyama choma. Ofisi yake haina habari na vituo vya sanaa na haina mipango ya kuwezesha wawekezaji kujenga Cultural Centres.

Miwsho zaidi Makonda hana habari kama jiji hili indigo walk wawekezaji na walipa kodi wakubwa. Sasa sielewi why mpaka leo hajafanya mkutano awa wafanya biashara wakubwa ambao wanalipa kodi kubwa na kuajiri watu wengi zaidi. If anything Makonda comes across as the most anti business RC kuliko wote ambao jiji hili imewapata. Hivi anashindwa vipi kushirikiana na private sector wenye hizi infrastructure projects kwa njia ya PPP?

Kama kweli anataka kusaidiwa aseme lakini tatizo hasemi. Sisi wana Dar hatupendi kulipa kodi lakini sababu ni hatupewi wala hatuonyeshwi namna kodi zetu zinavyotumika. Tunachokitaka ni kuona tax system ya Dar inakuwa overhauled,increasing taxpayer compliance while pledging that the Local Govt (LG) chini ya ofisi ya RC Makonda will be accountable for how tax money is spent. Naamini kuwa ofisi ya RC Dar wangekuwa honest na transparent, annual tax revenues zitapanda tutu na mana yake ni kuwa hizi pesa za ziada zitatumika kumaintain barabara, kusafisha jiji, kuongeza na kuimarisha ulinzi na usalama, ange weza kuintroduce new public transit options into kwenye hili jiji ambalo watu wanatumia zaidi ya masa 5 kwenye foleni na kwa kuboresha transport systems

Sidhani na siamini kabisa kama Magufuli is impressed na yanayoendelea kwenye hili jiji. Maana huyu Makonda Hana any Strategic Plan ya hili jiji.

Makonda angeweza sana kufanikisha haya mambo kwa kushirikiana na sect binafsi wakafanya kazi kwa njia ya Public Private Partnership (PPP)

In my opinion, its fair to say kuwa Makonda is not up to the job. Tuletewe mtu mwingine,
hii ni shule kubwa kwa makomda pia hata kwa raisi, kwa katiba yetu mbovu mkuu wa mkoa utamwonea tu hana ubavu huo, haya mavyeo yako kisiasa mno siyo kiutendaji
 
Nadhani mji kama wa Dar unahitaji mtanzania aliyekuwa exposed kidogo. Anayejua mambo mazuri kwenye mji, kwa mfano miti na chuma zinapelekwa bagamoyo road kupoteza hela wakati una barabara nyeti kama za makongo, mwananyamala, etc ambazo ni mbaya kweli kwel. Mazingira yote yaliyozunguka Mwananyamala hospital, Ilala hospital, na kinondoni yote ni machafu sana.
Makonda kwa ajili ya mbwbe zake na.show off siyo mtu anayeweza team work. Makonda kama Rais wake siyo team player kwa hiyo ni vigumu kutuletea maendeleo tunayoyataka.
Atatekeleza tu kinachoonekana na wakubwa. Sorry hii ni ukweli.
Dar ina resources nyingi lakini hatuoni zinafanya nini. Ni upande moja tu wa jiji unapata resources zote wakati sehemu zenye population kubwa ziko chafu kabisa na bado hazina basic needs kama maji.

Hakuna mji ulioendelea unaweza kufanyiwa usafi mchana. Pale population ikipungua ndo watu huingia mzigoni kufanya kazi. Je Dar ina kampuni ya kuweza kumotivate watu wafanye kazi usiku? Motivation siyo tu pesa hata kauli. Unakuta watu wanawapa watu ambao wenyewe ni kuweka pesa kwenye account lakini vitendea kazi na motivation kwa wafanyakazi ni hewa. Nawafahamu sababu kuna wengine wafanyakazi wao wanakaa miezi miwili hawajapata mishahara. Wewe unaingia mkataba na nchi amayo haina hela bila wewe kuwa na balance ya kukusastain hata miezi mitatu wakati unasubiri hizo hela za mama ntilie? Nasema mama ntilie sababu ndo wanafuatiliwa ila wale wenye maduka makubwa na viwanda hatujui je kodi yao inakwenda wapi? Ingekuwa inalipwa basi Dar ungekuwa mji wa kutiliwa mfano nchi nzima. Moshi wana nini mpaka wawe wasafi kiasi hicho? Uongozi, elimu uongozi elimu
 
Mkuu katika hili naona umekuwa too personal on the man RC Makonda. Hakuna aliye mkamilifu though, hata wewe uliyetuletea hii mada.
Na nikiangalia IN BETWEEN the lines naona umejaa
MALICE/Fitina!
WIVU
Innuendo na
INCOMPREHENSIBLE narrative kuhusu nini RC Makonda atimize katika jiji letu.

Unaposema atupe HEWA safi, SIKUELEWI Una maana gani ?Eti good Transport system kama ya Ethiopia nakushangaa zaidi!

Hata UNADAI jijini tupewe FREE WIFI kwa ajili ya MITANDAO na raha za watu kama wewe. Mimi si msemaji wake lakini mahali palipo na FITINA na WIVU lazima tuzungumze!
YOU ARE BEING UNFAIR to HIM to say the least!

Ni kweli ana mapungufu yake, hata hivyo si MAKUBWA as you want us to believe! Hayo mambo uliyoyataja yote yanahitaji HELA na kila kitu kina bajeti yake.
Sasa ndugu RC Makonda kama Makonda where will he be able kupata fedha nyingi hivyo na kutimiza hayo yote uliyo ya outline kama FAILURE yake?
Let us be HONEST to ourselves bila prejudice.
This guy Makonda ni MCHAPA KAZI. No question about that!

Na kama unavyosema eti ni ANTI wafanya biashara that is a lie/ si kweli.
Hawezi kuwa kiongozi wa Mkoa huku akipiga vita wafanya biashara. Je waliomba audience naye AKAKATAA kukutana nao?

Mimi naona hii issue ya kuzuia biashara ya UVUTAJI wa SHISHA miongoni mwa mambo mengi mazuri anayoyafanya ndo inamfanya awe na MAADUI wengi ikiwamo wewe uliyeandika mada hii.
Basi nitasema hivi:
This could be but the beginning of the RISE and RISE of RC Makonda to the greater heights! Wivu UNAUWA Achana nao!!
He is not perfect though just like you and me hold your peace!

Mkuu sijui niseme nini cha ziada!!! Umemu analyse vizuri sana mleta mada - vices ulizo taja ndiyo zinawasumbua sana baadhi ya watanzania - WIVU ukiwa in a forefront.

Ukichunguza sana kila Makonda anapo sema kitu, wao wanaongeza chumvi na wakati mwingine kumzulia mambo tu, shida yao wanataka JPJM amfukuze kazi Makonda alafu wao wa rejoice, ndiyo akili ya baadhi ya vijana wa vyama vya upinzani ni wazushi na wachonganishi.

Kujitia wana majibu ya kila tatizo linalo likabili jiji la Dar, unaweza kufikiri wakipewa ukuu wa Mkoa wanaweza kufanya miujiza, usanii tu - wamejaa maneno mengii yasiyo na mantiki hata kidogo!!
 
Kwenye jiji kubwa kama Dar es alaam unahitaji team work na kujenga mazingira ya kuifanya hiyo team ijitume.
Uisimamie team iset vision ambayo itatake into account interests za groups zote.

Kwenye team yako unahitaji isheheni kila aina ya CV ambazo jiji linahitaji. And then, make them work and always tick the achived objectives. As simple as that!
Mimi namponda Trump lakini angalia anavyoiembrace white house, almost perfect kwenye sense ya utendaji.
Angalia transition team yake na vision ya 100 days in office. And the beauty of it all, ameelezea yote kwenye online video clip of less than three minutes.

Wewe ndio umezungumza kisomi kabisa, ushauri wako unapaswa kuwa emulated sio kwa Mkoa wa Dar tu bali na sekta za huko Serikalini bila kusahau Mashirika ya UMMA. Well said, well done.
 
If you want to test a man's character give him power

ABRAHAM LINCOLN

Unaccommodated man is no more but such a poor bare,
forked animal
KING LEAR : Act III, scene iv
​

Sipendi kuandika political obituaries lakini kwa huyu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (Paul Makonda ) Sidhani kama atamaliza ngwe yake na Magufuli let alone kama atamaliza miezi 12 mayo katika jiji la Dar es salaam kama mkuu wa mkoa kwa sababu naamini kabisa kuwa Rais Magufuli kashaona kuwa Makonda isnt up to the job na mbaya zaidi Magufuli kashashtuka na hataki tena haya mambo ya kusifiwa sifiwa na kupambwa badala yake anataka kuona results baada ya kumpa cheo kuongoza jiji lenye watu karibu milioni 10.

Maguli alimpatia ukuu wa Mkoa wa Dar baada ya Makonda kuonyesha kumpa illusion kuwa ni mchapa kazi lakini ukweli usiopingika ni kuwa Makonda has failed na sasa hivi tumeishia kupewa PR stunts, na maneno mengi yasiyo na substance.

Jiji hili ambalo lina historia na ambalo limetoa vigogo wa kila namna linahitaji mkuu wa mkoa ambaye anaendana na dunia na karne hii tuliyonayo.

So far jiji bado ni chafu, ombaomba wako palepale, foleni na traffic lights zisizofanyakazi, hakuna law wala order, marengo yanajengwa bia mipangilio huko kwenye Central Business District (CBD), kodi zinakusanywa lakini wana Dar es salaam hawaambiwi wala kuonyeshwa mchanganuo wa matumizi wa kodi zao, hakuna transparency, jiji halina strategies wala policies za mambo ya climate change, hakuna strategies za kuongeza nyumba kwa wakazi wa hili jiji (na affordable) na kuondoa ma chaka na slums ya Buguruni, Mwananyamala kinondoni, Ilala, temeke, etc.

Makonda kashindwa kutuletea alternative Transport strategy na policy (kakuta DART) na hajaja na mango wowote wa kuendeleza usafiri walau Dar ikawa na network ya light rail kama walivyofanya Addis au kuongeza na kuboresha barabara zilizopo ili ziendane na ukuwaji wa watu kwenye hili jiji, na usafiri hapa nazungumzia za waenda kwa miguu, baiskeli na magari.

Paul Makonda kashindwa kuja na mikakati yoyote ile ya kusaidia kuwa na Dar es salaam ambayo in hewa safi kwa wakazi wake. Hivi how hard is it for him kushirikiana na January Makamba (waziri wa mazingira) ili kuwepo kwa comprehensive strategies za kutunza mazingira? Mfano jiji la Dar halina power points za ku chat magari ya umeme, hakuna operesheni ya kueleweka ya kupada na kutunza mimi, Makonda kashindwa kuwahizimisha na kutoa incentives ma wajenzi kutumia umeme mbadala wa solar na wind.

Mbali na hayo hana strateges zozote zile kuvuta wawekezaji wa viwanda kama vya ku assemble Solar na vinginevyo kwenye hili jiji wala hana mipango yoyote ile ya kuvutia watalii kwenye hili jiji ambalo watulii hutumia kukaa kwa siku moja kisha wanaenda zao Arusha au Zanzibar. Hili ni jiji ambalo lina historia na vivutio kem kem na linaweza kuongezewa vivutio vingi zaidi ili wall mtalii on average awes ku spend more days hapa Dar na kutumia wastani wa dollar 100 per day hapa. In addition, Makonda amefeli kwenye kuboresha Ulinzi na usalama wa hili jiji kwani sasa hivi wakazi wa Dar hawajiskii salama kutoka nje usiku na hata aliyoko ndani ya gari anaogopa kusimama kwenye traffic lights kwa kuogopa majambazi.

Hivi kuna ubaya gani wananchi wakawa organised na kuambiwa wachangie kwenye mambo ya neighbourhood policing? Mrema aliweza na police posts in the 1990's sasa sielewi leo haya mambo yanashindikana. Wananchi kila wakiona polisi ni ama watakamatwa na kusingiziwa kesi na hivyo wananchi wa hili jiji police badala ya kuwa rafiki wa wananchi wanaonekana kuwa wanashirikiana na majambazi.

Hapo zijazungumzia vikosi veytu vya zimamoto ambavyo haviko up to standards. Zimamoto zinatakiwa kuwepo kwenye kila kata ya hili jiji lakini hakuna mipango hiyo na hata habari Mkaonda hana.

Ofisi yake pia imeshindwa kushirikiana na kampuni mbali mbali za teknolojia wakaweka super fast Free Wifi maeneo mbali mbali..

Kuhusu Culture na nisiseme kwani sasa hivi the only cultural thing ambacho ofisi yake inakifanya ni matamasha ya fiesta na nyama choma. Ofisi yake haina habari na vituo vya sanaa na haina mipango ya kuwezesha wawekezaji kujenga Cultural Centres.

Miwsho zaidi Makonda hana habari kama jiji hili indigo walk wawekezaji na walipa kodi wakubwa. Sasa sielewi why mpaka leo hajafanya mkutano awa wafanya biashara wakubwa ambao wanalipa kodi kubwa na kuajiri watu wengi zaidi. If anything Makonda comes across as the most anti business RC kuliko wote ambao jiji hili imewapata. Hivi anashindwa vipi kushirikiana na private sector wenye hizi infrastructure projects kwa njia ya PPP?

Kama kweli anataka kusaidiwa aseme lakini tatizo hasemi. Sisi wana Dar hatupendi kulipa kodi lakini sababu ni hatupewi wala hatuonyeshwi namna kodi zetu zinavyotumika. Tunachokitaka ni kuona tax system ya Dar inakuwa overhauled,increasing taxpayer compliance while pledging that the Local Govt (LG) chini ya ofisi ya RC Makonda will be accountable for how tax money is spent. Naamini kuwa ofisi ya RC Dar wangekuwa honest na transparent, annual tax revenues zitapanda tutu na mana yake ni kuwa hizi pesa za ziada zitatumika kumaintain barabara, kusafisha jiji, kuongeza na kuimarisha ulinzi na usalama, ange weza kuintroduce new public transit options into kwenye hili jiji ambalo watu wanatumia zaidi ya masa 5 kwenye foleni na kwa kuboresha transport systems

Sidhani na siamini kabisa kama Magufuli is impressed na yanayoendelea kwenye hili jiji. Maana huyu Makonda Hana any Strategic Plan ya hili jiji.

Makonda angeweza sana kufanikisha haya mambo kwa kushirikiana na sect binafsi wakafanya kazi kwa njia ya Public Private Partnership (PPP)

In my opinion, its fair to say kuwa Makonda is not up to the job. Tuletewe mtu mwingine,
Mbona umepanik sana.mkuu wa mkoa ni msimamizi wa sera tu!sio kama unavyoeleza.kaswali kadogo tu'Rc aliyemtangulia alileta usafiri bora km wa Addis ababa na makonda akashindwa kuendeleza..tupunguze mihemko.makonda aachwe afanye yake...
 
Mkuu katika hili naona umekuwa too personal on the man RC Makonda. Hakuna aliye mkamilifu though, hata wewe uliyetuletea hii mada.
Na nikiangalia IN BETWEEN the lines naona umejaa
MALICE/Fitina!
WIVU
Innuendo na
INCOMPREHENSIBLE narrative kuhusu nini RC Makonda atimize katika jiji letu.

Unaposema atupe HEWA safi, SIKUELEWI Una maana gani ?Eti good Transport system kama ya Ethiopia nakushangaa zaidi!

Hata UNADAI jijini tupewe FREE WIFI kwa ajili ya MITANDAO na raha za watu kama wewe. Mimi si msemaji wake lakini mahali palipo na FITINA na WIVU lazima tuzungumze!
YOU ARE BEING UNFAIR to HIM to say the least!

Ni kweli ana mapungufu yake, hata hivyo si MAKUBWA as you want us to believe! Hayo mambo uliyoyataja yote yanahitaji HELA na kila kitu kina bajeti yake.
Sasa ndugu RC Makonda kama Makonda where will he be able kupata fedha nyingi hivyo na kutimiza hayo yote uliyo ya outline kama FAILURE yake?
Let us be HONEST to ourselves bila prejudice.
This guy Makonda ni MCHAPA KAZI. No question about that!

Na kama unavyosema eti ni ANTI wafanya biashara that is a lie/ si kweli.
Hawezi kuwa kiongozi wa Mkoa huku akipiga vita wafanya biashara. Je waliomba audience naye AKAKATAA kukutana nao?

Mimi naona hii issue ya kuzuia biashara ya UVUTAJI wa SHISHA miongoni mwa mambo mengi mazuri anayoyafanya ndo inamfanya awe na MAADUI wengi ikiwamo wewe uliyeandika mada hii.
Basi nitasema hivi:
This could be but the beginning of the RISE and RISE of RC Makonda to the greater heights! Wivu UNAUWA Achana nao!!
He is not perfect though just like you and me hold your peace!
Man am nat opposing ww wala mtoa mada ila huyo kaongelea failures bt cdhan kamaameongelea good dids so makonda anamazur n pia anamabaya ..so ili awe mzur n kurekebsha baadh ila kuna vitu pia mtoa mada kaongea ambvyo n unneccsary na necsary so n yy tukashndwa ku allocate
 
Mara nyingi wanaomzunguka mfalme ni kama mfalme mwenyewe...
Unapotaka Makonda aondoke unakuwa unadai kisichowezekana make wapo wengi mle kuanzia mfalme mwenyewe..!!
 
Acha mbwembwe...mtoa mada kasema ashirikiane na private sector kufanya haya mambo,na ni doable...

Usitake kumtetea na viingereza vingi...mtoa mada labda katumia lugha kali ila vyote alivyosema ni sahihi na ndio vitu muhimu...wewe na yeye mpo sawa tu maana na wewe umetoa hoja zako kwa majigambo na fitina kama yeye...

Vyote alivyotaja ni doable,tusitake kutetea kila kitu...na pesa mtoa mada kaonesha pa kuzitoa clearly,mengine ni wewe tu na beef zako
Mkuu sina beef yeyote na yeye ila ni kumjibu kama yeye alivyoileta mada hii. Ukiisoma kwa makini utaona kunamchanganyiko wa maneno yaani usemi wake unakinzana.
Sina ubaya ila ni kumjibu kulingana na ngonjera yake ndefu aliyoileta!
 
Mkuu jana RC kamwambia DC Temeke ahakikishe miradi inatekelezwa yote na si kukaa kulalamika kwamba fedha hazipo,sasa kama yeye anashindwa kutekeleza hii miradi kwa sababu ya ufinyu wa bajeti,subordinate wake ataweza wapi?
Basi kama ALISEMA na kumwambia DC miradi itekelezwe yote basi ni kusema. Makonda ni mchapa kazi. Na hivyo unakubaliana nami na kumpinga mleta mada kwamba Makonda hataki kuleta maendeleo.Ni vizuri umesema wewe mwenyewe!
 
Unajua tunaamin na kukaataa kwa nafsi tofaut kuwapo na pesa na kuto kuwapo na pesa katka mikoa na wilaya zetu.. ..Rais anasema nchi ina hela ,naubanaji wamatumiz wawakilishi wake katika ngaz ya mikoa na wilaya wanatumiaje msemo warais kutuaminsha walisha jarb peleka proposal ya maendeleo kwake
 
PPP,kinachoandikwa na Mchokoza mada ni creativity katika kutatua challenges za eneo la kiutawala Kwa Mh Makonda. Badala ya kudeal na petty issues.
Angeweka kwa mhutsari. Bila kuonyesha kuwa ANGEFURAHIA downfall ya mtu mwingine tungemwelewa kuwa ni creativity. Lakini katika hii ni direct attack!!
 
Back
Top Bottom