The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

natamani kujua huyu ndugu kasomea nn. mana naona kama anaiweza sana marketing. kuleta idears na kuzipublish anajitahidi sana ila kuzifanya zifanye kazi hapo ni kimeo cha kutupa. kwa bahati mbaya kakutanan na rafiki yake wanafanana anaitwa clouds fm. kiongozi wa mkoa una mambo yanayohusu maendeleo ya taifa na serikali kwa ujumla unakimbilia radio ya mtu binafsi unaacha radio ya serikali.

Nadhani siku sizonje akimfanyia tathmini ndugu huyu cdhani kama hata uwenyekiti wa serikali za mitaa atampa.
maana ukiangalia kwenye
usafi wa jiji... KIMEO
omba omba... KIMEO
barabara inayotoka mwananyamala kuelekea kituo cha makumbusho... KIMEO

Hv kwan mtu huyu kabla ya kupewa kinondoni alikuwa wapi.?
 
Mkuu katika hili naona umekuwa too personal on the man RC Makonda. Hakuna aliye mkamilifu though, hata wewe uliyetuletea hii mada.
Na nikiangalia IN BETWEEN the lines naona umejaa
MALICE/Fitina!
WIVU
Innuendo na
INCOMPREHENSIBLE narrative kuhusu nini RC Makonda atimize katika jiji letu.

Unaposema atupe HEWA safi, SIKUELEWI Una maana gani ?Eti good Transport system kama ya Ethiopia nakushangaa zaidi!

Hata UNADAI jijini tupewe FREE WIFI kwa ajili ya MITANDAO na raha za watu kama wewe. Mimi si msemaji wake lakini mahali palipo na FITINA na WIVU lazima tuzungumze!
YOU ARE BEING UNFAIR to HIM to say the least!

Ni kweli ana mapungufu yake, hata hivyo si MAKUBWA as you want us to believe! Hayo mambo uliyoyataja yote yanahitaji HELA na kila kitu kina bajeti yake.
Sasa ndugu RC Makonda kama Makonda where will he be able kupata fedha nyingi hivyo na kutimiza hayo yote uliyo ya outline kama FAILURE yake?
Let us be HONEST to ourselves bila prejudice.
This guy Makonda ni MCHAPA KAZI. No question about that!

Na kama unavyosema eti ni ANTI wafanya biashara that is a lie/ si kweli.
Hawezi kuwa kiongozi wa Mkoa huku akipiga vita wafanya biashara. Je waliomba audience naye AKAKATAA kukutana nao?

Mimi naona hii issue ya kuzuia biashara ya UVUTAJI wa SHISHA miongoni mwa mambo mengi mazuri anayoyafanya ndo inamfanya awe na MAADUI wengi ikiwamo wewe uliyeandika mada hii.
Basi nitasema hivi:
This could be but the beginning of the RISE and RISE of RC Makonda to the greater heights! Wivu UNAUWA Achana nao!!
He is not perfect though just like you and me hold your peace!
Shige 2 unatumia lugha fulani fulani ambazo huwa naziona kwenye hukumu za kesi za mahakama kuu..malice, innuendo, incomprehensible [emoji2]
 
Lengo letu wapinzani wasifurukute, hilo tumeliweza, ameliweza.. Na kule Archuga.. Maendeleo mtajiju, mpaka mtuchague tena.

Yaani mnatunyima kura mnawapa wale na bado mnataka maendeleo toka kwetu??? Mtaisoma....
 
Na wasiwasi sana na uwelewa wa uyu jamaa
 
Makonda ndio type ya wateule wa Magufuli kwa hiyo haendi popote! Amefanikisha kampeni ya kupanda miti siku ya UKUTA hilo ni muhimu kwa serikali kuliko yote uliyoandika.
Asante kwa hii Kiongozi tatizo watu wengi hawajamuelewa Rais ni watu gani anaopenda kufanya nao kazi Mkuu anateua nakumuweka MTU mahari kwa mkakati flan kama alifanikusha kupanda miti kwenye Ukuta ikiwa nayeye mwenyewe anaipinga kwa kila namna kwanini amtumbue wengine sisi tulijua MAKONDA kashinda Kabla hata hajaingia Ofisini....anaishia kutoa Matamko yasiyo na Impact yoyote anadhani DSM yasasa imejaa wazaramo peke yao kuwa akisema watu wataenda kujificha....
 
Lengo letu wapinzani wasifurukute, hilo tumeliweza, ameliweza.. Na kule Archuga.. Maendeleo mtajiju, mpaka mtuchague tena.

Yaani mnatunyima kura mnawapa wale na bado mnataka maendeleo toka kwetu??? Mtaisoma....
Then nasikitika wanaodhani mtukufu halidhiki na Nazi zao
 
Makonda ni aina ya vijitu vilivyookota embe dodo kwenye mnazi, hopeless individual. Takataka kimawazo maana anachojali ni kutafuta sifa hata kama ni za kipuuzi.
Tumeipenda wenyewe.
 
Mfumo mmbovu msitarajie matokeo tofauti na haya alipanda miti kuzuia Ukuta kama alivyo agizwa na mfumo na kuyaacha yale ya Msingi zaidi..

Kule kujitolea kwa Majeshi yetu ktk kufanya usafi pameishia wapi ?....
 
Anashindwa hata na yule waarusha japo anawabana opposition lkn kweny fcbk yake kdg namuona akishughulikia to do list yake
 
Tatizo kubwa nadhani siyo uwezo wa kufanya, ni viongozi wote kufanya kazi wakiangalia na kushindana na upinzani.
Nadhani hakuna mwana ccm yeyote anayefanyakazi bila mkandamizo wa ukawa juu yake. Maana kuchamba sana utashika na uchafu. Napia waliteuliwa viongozi wenye kudhibiti upinzani siyo weledi na wenye uzoefu kwa ajili ya maendeleo huyu ni kijana hana uzoefu kwenye uongozi, anajitahidi sana. Lkn majukumu aliyopewa ni makubwa mno, tumpongeze anajitahidi
 
Paul Makonda ameteuliwa na Mwenye Enzi Mungu. ...
 
Tattizo ni kuwa hakuna strategies wala plan zozote zile
Majukumu mengine mmembambikizia! Can u give him a breath? Akifanya yote hayo kuna watu watakuwa hawana maana ya kuwepo kazini! Umempa majukumu kama ya Waziri!
 
Jamaa hana note book wala to do list.
Hana vipaumbele kila siku na tamko jipya na hana ambacho kimekamilika
[emoji14] [emoji14] na hakuna litakalokamilika km bosi wake tu anaruka huku na huko

If you want to test a man's character give him power

ABRAHAM LINCOLN

Unaccommodated man is no more but such a poor bare,
forked animal
KING LEAR : Act III, scene iv

Sipendi kuandika political obituaries lakini kwa huyu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam (Paul Makonda ) Sidhani kama atamaliza ngwe yake na Magufuli let alone kama atamaliza miezi 12 mayo katika jiji la Dar es salaam kama mkuu wa mkoa kwa sababu naamini kabisa kuwa Rais Magufuli kashaona kuwa Makonda isnt up to the job na mbaya zaidi Magufuli kashashtuka na hataki tena haya mambo ya kusifiwa sifiwa na kupambwa badala yake anataka kuona results baada ya kumpa cheo kuongoza jiji lenye watu karibu milioni 10.

Maguli alimpatia ukuu wa Mkoa wa Dar baada ya Makonda kuonyesha kumpa illusion kuwa ni mchapa kazi lakini ukweli usiopingika ni kuwa Makonda has failed na sasa hivi tumeishia kupewa PR stunts, na maneno mengi yasiyo na substance.

Jiji hili ambalo lina historia na ambalo limetoa vigogo wa kila namna linahitaji mkuu wa mkoa ambaye anaendana na dunia na karne hii tuliyonayo.

So far jiji bado ni chafu, ombaomba wako palepale, foleni na traffic lights zisizofanyakazi, hakuna law wala order, marengo yanajengwa bia mipangilio huko kwenye Central Business District (CBD), kodi zinakusanywa lakini wana Dar es salaam hawaambiwi wala kuonyeshwa mchanganuo wa matumizi wa kodi zao, hakuna transparency, jiji halina strategies wala policies za mambo ya climate change, hakuna strategies za kuongeza nyumba kwa wakazi wa hili jiji (na affordable) na kuondoa ma chaka na slums ya Buguruni, Mwananyamala kinondoni, Ilala, temeke, etc.

Makonda kashindwa kutuletea alternative Transport strategy na policy (kakuta DART) na hajaja na mango wowote wa kuendeleza usafiri walau Dar ikawa na network ya light rail kama walivyofanya Addis au kuongeza na kuboresha barabara zilizopo ili ziendane na ukuwaji wa watu kwenye hili jiji, na usafiri hapa nazungumzia za waenda kwa miguu, baiskeli na magari.

Paul Makonda kashindwa kuja na mikakati yoyote ile ya kusaidia kuwa na Dar es salaam ambayo in hewa safi kwa wakazi wake. Hivi how hard is it for him kushirikiana na January Makamba (waziri wa mazingira) ili kuwepo kwa comprehensive strategies za kutunza mazingira? Mfano jiji la Dar halina power points za ku chat magari ya umeme, hakuna operesheni ya kueleweka ya kupada na kutunza mimi, Makonda kashindwa kuwahizimisha na kutoa incentives ma wajenzi kutumia umeme mbadala wa solar na wind.

Mbali na hayo hana strateges zozote zile kuvuta wawekezaji wa viwanda kama vya ku assemble Solar na vinginevyo kwenye hili jiji wala hana mipango yoyote ile ya kuvutia watalii kwenye hili jiji ambalo watulii hutumia kukaa kwa siku moja kisha wanaenda zao Arusha au Zanzibar. Hili ni jiji ambalo lina historia na vivutio kem kem na linaweza kuongezewa vivutio vingi zaidi ili wall mtalii on average awes ku spend more days hapa Dar na kutumia wastani wa dollar 100 per day hapa. In addition, Makonda amefeli kwenye kuboresha Ulinzi na usalama wa hili jiji kwani sasa hivi wakazi wa Dar hawajiskii salama kutoka nje usiku na hata aliyoko ndani ya gari anaogopa kusimama kwenye traffic lights kwa kuogopa majambazi.

Hivi kuna ubaya gani wananchi wakawa organised na kuambiwa wachangie kwenye mambo ya neighbourhood policing? Mrema aliweza na police posts in the 1990's sasa sielewi leo haya mambo yanashindikana. Wananchi kila wakiona polisi ni ama watakamatwa na kusingiziwa kesi na hivyo wananchi wa hili jiji police badala ya kuwa rafiki wa wananchi wanaonekana kuwa wanashirikiana na majambazi.

Hapo zijazungumzia vikosi veytu vya zimamoto ambavyo haviko up to standards. Zimamoto zinatakiwa kuwepo kwenye kila kata ya hili jiji lakini hakuna mipango hiyo na hata habari Mkaonda hana.

Ofisi yake pia imeshindwa kushirikiana na kampuni mbali mbali za teknolojia wakaweka super fast Free Wifi maeneo mbali mbali..

Kuhusu Culture na nisiseme kwani sasa hivi the only cultural thing ambacho ofisi yake inakifanya ni matamasha ya fiesta na nyama choma. Ofisi yake haina habari na vituo vya sanaa na haina mipango ya kuwezesha wawekezaji kujenga Cultural Centres.

Miwsho zaidi Makonda hana habari kama jiji hili indigo walk wawekezaji na walipa kodi wakubwa. Sasa sielewi why mpaka leo hajafanya mkutano awa wafanya biashara wakubwa ambao wanalipa kodi kubwa na kuajiri watu wengi zaidi. If anything Makonda comes across as the most anti business RC kuliko wote ambao jiji hili imewapata. Hivi anashindwa vipi kushirikiana na private sector wenye hizi infrastructure projects kwa njia ya PPP?

Kama kweli anataka kusaidiwa aseme lakini tatizo hasemi. Sisi wana Dar hatupendi kulipa kodi lakini sababu ni hatupewi wala hatuonyeshwi namna kodi zetu zinavyotumika. Tunachokitaka ni kuona tax system ya Dar inakuwa overhauled,increasing taxpayer compliance while pledging that the Local Govt (LG) chini ya ofisi ya RC Makonda will be accountable for how tax money is spent. Naamini kuwa ofisi ya RC Dar wangekuwa honest na transparent, annual tax revenues zitapanda tutu na mana yake ni kuwa hizi pesa za ziada zitatumika kumaintain barabara, kusafisha jiji, kuongeza na kuimarisha ulinzi na usalama, ange weza kuintroduce new public transit options into kwenye hili jiji ambalo watu wanatumia zaidi ya masa 5 kwenye foleni na kwa kuboresha transport systems

Sidhani na siamini kabisa kama Magufuli is impressed na yanayoendelea kwenye hili jiji. Maana huyu Makonda Hana any Strategic Plan ya hili jiji.

Makonda angeweza sana kufanikisha haya mambo kwa kushirikiana na sect binafsi wakafanya kazi kwa njia ya Public Private Partnership (PPP)

In my opinion, its fair to say kuwa Makonda is not up to the job. Tuletewe mtu mwingine,
 
Tattizo ni kuwa hakuna strategies wala plan zozote zile
Majukumu mengine mmembambikizia! Can u give him a breath? Akifanya yote hayo kuna watu watakuwa hawana maana ya kuwepo kazini! Umempa majukumu kama ya Waziri!
 
Yaani unamlaumu mkuu wa Mkoa wakati serikali yenyewe haina muda na hayo mambo uliyoandika...?????

Focus kubwa ya serikali ni watumishi hewa.
 
Back
Top Bottom