Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Hii ndio maana halisi ya kigogo! (kisiki kisichochimbulika). Lakini mwaka huu kitachimbulika tu!
"I am in Tripoli and not in Venezuela. Do not believe the channels belonging to stray dogs," - Muammar Gaddafi
"Bado nipo Tripoli na sio Venezuela. Usiamini runinga za mbwa koko" - Muammar Gaddafi
Swali: Hivi baada ya mauaji yote yanayotokea katika nchi yake Ghadafi anaamua kufanya mchezo wa kuigiza kama huu aufanyao?
Ha ha ha! Na mimi bado nafwatilia habari za "kiintelijensia"!Hivi we Askari Kanzu huyu jamaa yuko Tripoli Libya Kama anavyodai au yuko wapi?????????? Watalamu wa seen, maeneo watueleweshe!!!
Hivi we Askari Kanzu huyu jamaa yuko Tripoli Libya Kama anavyodai au yuko wapi?????????? Watalamu wa seen, maeneo watueleweshe!!!
huyo ajiandae tu kuondoka, siku zake na miaka 41 nadhani inamtosha sana
Huyu jamaa inaonekana yuko tayari kuachia madaraka na anaonekana kuwa kachoka saana, bali tatizo liko kwa mtoto wake amabaye anataka kushika madaraka ndio anayetumia ubabe.
N adhani utakumbuka kuwa hata mtoto wa Mbaraka ndiye aliyechakachua ile barua ya baba yake ya kujihuzulu.
Hwa watoto wa madidtaor wanakuwa na tabia na mbaya kuliko hata ya mibaba yao..
Two civilian helicopters, followed by two Libyan fighter jets, have landed in Malta. Only one of at least seven passengers are reported to be carrying passports. All passengers are currently being held by immigration officials. Al Jazeera's Karl Stagno-Novarra, reporting from Malta, says the Mediterranean island is preparing to be used as a base for evacuation of European citizens from Libya, one hour's flight away.
Source: Live Blog - Libya | Al Jazeera Blogs#
Jamaa yake Al Bashili kaona mbali..
Saif al-Islam Gaddafi, the son of strongman Muammar Gaddafi, says that Libya is on the verge of civil war, branding the unprecedented protests against his father's rule a foreign plot.