Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Kwa kauli yake aliyowahi kutoa wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani kuwa mtu yoyote atakaye toka ccm kwenda upinzani ni mwenda wazimu, basi yeye ni mwenda wazimu tu bado kuvua nguo na kula majalalani.
Hapana....hakutoka kwa hiyo si mwenda wazimu...kwa mujibu wa kauli yake mwenyewe