The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

Mzee wa watu akapumzike,kama siasa amefulia abaki kuwa mshauri labda kidogo itasaidia
 
Mzee huyu sasa anaganga njaa tu,ndio maana huenda mafisadi wakamtumia bila haya eti agombee Ubunge.Ushauri wa bure kwake ni kuwa akapumzike na wajukuu ili asijizeeshe haraka kutokana na maradhi yake ya kisukari.TLP mkitaka Mzee huyo aachie umwenyekiti basi mumwachie nyumba anayoishi kwani ana wasiwasi aking'atuka tu mtamnyang'anya nyumba hiyo.Huo ni ushauri wangu tu kwake na kwenu.
 
Nijuavyo mimi nyumba ile ni yake kwa sasa na ana hati miliki.
 
Bwana Mrema anafaa sana kwa utawala usiozingatia sheria na Demokrasia, nawahakikishia kuwa kama MREMAvu huyu angekuwa bado serikalini na kupewa uraisi wakati hule ICC asingeiepuka.
 
Tuacheni ushabiki....historia ya Taifa hili itampa nafasi kubwa sana mrema ...... utendaji wake ulikuwa mzuri na wa kizalendo....siku Mungu akimuita hata maadui zake watalikiri hili..!!...unapoongelea viongozi wenye charisma waliowahi kutokea Tanzania ...ambao walikuwa na uwezo wa kutoa sauti tu ...na hata "miti" ikatetemeka...ni Nyerere,Mrema na Sokoine....kama kuna anayepinga hilo labda ni kijana na hajaangalia historia....

Tofautisheni list ya kwanza na ya pili ya viongozi waliopata kupendwa hapo ndipo utawaweka ....nyerere,sokoine .,mrema,salim[hasa alipochukua uwaziri mkuu baada ya sokoine na kuwasaidia wananchi vijijini waliokuwa wakijidunika "majani" na kuvaa kaniki...kwa kuagiza mitumba kwa marafiki zake ulaya kwa makontena na kuwagawia bure vijijini...kuwasitiri]..na KIKWETE [huyu amependwa lakini imekuwa vigumu wakati wote kuhusisha kupendwa kwake na utendaji ..zaidi tutasema alipendwa au anapendwa tu!] hiyo ni historia kwa taifa letu...
 
He was once warned by Mwalimu against those who stood above him in terms of not only academic qualifications but also what very quickly proved to be basis reasoning and strategic planning. His political career was built on flagile foundations, on bricks of ice in the desert which gave him an artificial bubbly life at the time when he was allowed to carry the huge freezers from CCM to NCCR-Mageuzi. As they started rusting, his strategic plans let him down - he sat watching them fall to pieces and along them he fell too.

..NI kweli mwaka 1995...mwalimu alikutana na mrema msasani ...kwa appoitment iliyoratibiwa na makongoro....mwalimu alimueleza wazi mrema kuwa hana tatizo naye ...bali alimuasa kuwa amezungukwa na MBWA !!!...Na akamueleza wazi kuwa hawezi kuacha nchi ikaenda kwa mbwa!!..kina marando,lamwai ...na wenzake ambao wengi wamerudi ccm waliomsindikiza mrema kwa mwalimu....walishikwa na butwaa....!!

lakini alichomtabiria mwalimu mrema ndicho hasa kilitokea na wenzake "mbwa wale" ndio walomsaliti na chama kikadumaa!!!!
 
Bwana Mrema anafaa sana kwa utawala usiozingatia sheria na Demokrasia, nawahakikishia kuwa kama MREMAvu huyu angekuwa bado serikalini na kupewa uraisi wakati hule ICC asingeiepuka.

kweli wewe ni kipofu.

kwani hata hata aliepita ukifuata sheria si anatakiwa huko?

kama huna points usiongee pumba zako hapa jamvini bana.

waliopo wamefanya nini?

NYAMBAFU.
 
Kwani mrema kafa kisiasa au kufweza? weJoka kuu vipi?
 
huyo mzee hakuangakuka wala kuisha kisiasa.ni njama nyingi zinatumiwa na ccm kuwaangusha wapinzani.chama chochote cha upinzani kikiwa na nguvu migogoro huanza.angalia chadema sasa na cuf.mrema hakuwa fisadi na angekuwa fisadi nauhakika angebaki ccm.watu wengi hawakumbuki mema aliyofanya na kikubwa kilicho muondoa ccm ni yeye kuwapinga mafisadi.na kuwakemea hadharani.na ule uchaguzi wa 1995 mrema alishinda ila ccm walibadili matokeo na baada ya hapo walianza kumpandikizia migogoro na kesi zisizoisha.KWA UFUPI MREMA NAMI NAMVULIA KOFIA NA KAMWE TANZANIA HAITOPATA KIONGOZI SHUJAA NA JASIRI KAMA MREMA.kwa sasa aende kugombea ubunge ili aweze kupambana na mafisadi bungeni kama slaa na wenzio.ccm kuindoa ccm madarakani tunahitaji tushikamane wananchi wote..kuna msemo unasema..THE GOVERNMENT SHOULD FEAR ITS PEOPLE AND NOT THE PEOPLE TO FEAR THE GOVERNMENT...TANZANIA JAMANI TUAMKE.TUENDELEE HIVI MPAKA LINI.
 
Nakuunga mkono asilimia 100.thanks dude
 
nimesoma thread ya the rise and fall kuhusu mrema.mimi binafsi nadhani mrema alipinga ufisadi kwa nguvu zake zote na ndio chanzo kikubwa kilichomuondoa ccm.ni mwanasiasa makini,jasiri na shujaa kwa watanzania.hatutakuja pata mwanasiasa kama yeye.ccm ilimuogopa sana na alikua tishio kwao ndio maana alivyo hama ccm na kwenda nccr mageuzi wakaanza kumpandikizia migogoro na kesi zisizoisha.hii migogoro hutokea kwenye kila chama chenye nguvu.angalia chadema na cuf.na uchaguzi zote hapa tanzania sio za haki ukianzia uchaguzi mkuu mpaka wa serikali za mitaa.mrema angeibadilisha hii nchi na wala tusingeona ufisadi wa leo na serikali inacheka.majambazi yalirudisha silaha wakati alipo kuwa waziri.hayo ya nmb yasingetokea.Mrema ni kipenzi cha watu.watu wanampenda sana.huko vunjo atashinda kwa kishindo mwakani.na akienda bungeni ataweza kupambana na mafisadi kama wakina slaa. Mrema ni obama wetu.yeye anaamini watanzania wasiiogope serikali bali serikali ituogope sisi watanzania.MREMA NAMVULIA KOFIA KWA KAZI KUBWA ALIYOIFANYA KATIKA NNCHI YETU.MWANASIASA JASIRI NA SHUJAA KWA WATANZANIA.kama wewe hukubaliani na haya basi una kiburi.BIG UP MREMA
 
Ama kweli mtu akipenda basi hata chongo ataita kengeza.
Tabia ya mtu utaiona jinsi anavyohusiana na wenzake. Huyuu mzee alivyokuwa ccm alifanya vile kujipandisha chati [siyo dhambi] lakini mbona kila mahala anapekwenda mbona kuna kuwa ni matatizo matupu? au ndiyo ccm tena maana ingawa mimi siyo mwanachama lakini jamani mimi naamini katika JF kuna watu waliokubuhu kwa analysis zao ndiyo maana wengine tumeingia barazani. Tuseme ukweli tatizo kubwa la mzee huyu ni umimi. kama mnakumbuka hivi karibuni katika mchakato wa uchaguzi wa chama chake alikuwa anatoa very undemocrtatic statements ambazo kwa mtu yeyote yule unaweza kutafsiri kuwa jamaa anaamini kile chama ni mali yake.
Jinsi alivyochuja umesahau kwenye uchaguzi wa juzijuzi mikutano yake ilikuwa kioja maana wahudhuriaji walikuwa chini ya 50 au hiyo yote ni kampeni za ccm?
 
Mumuonee huruma mgeni huyo, hajui maana ya breaking news na hajui kama thread ya Mrema ipo tayari. Lakini ni wazi kuwa Mrema alifanyiwa juhudi za makusudi kuhakikisha kuwa anakufa kisiasa, kama sasa hivi inavyofanyika kumfanya George Mangula andelee kuchoma mahindi, hata ukatibu kata hawezi kupata.
 
huyo mzee hakuangakuka wala kuisha kisiasa.ni njama nyingi zinatumiwa na ccm kuwaangusha wapinzani.chama chochote cha upinzani kikiwa na nguvu migogoro huanza.angalia chadema sasa na cuf.mrema hakuwa fisadi na angekuwa fisadi nauhakika angebaki ccm.watu wengi hawakumbuki mema aliyofanya na kikubwa kilicho muondoa ccm ni yeye kuwapinga mafisadi.na kuwakemea hadharani.na ule uchaguzi wa 1995 mrema alishinda ila ccm walibadili matokeo na baada ya hapo walianza kumpandikizia migogoro na kesi zisizoisha.KWA UFUPI MREMA NAMI NAMVULIA KOFIA NA KAMWE TANZANIA HAITOPATA KIONGOZI SHUJAA NA JASIRI KAMA MREMA.kwa sasa aende kugombea ubunge ili aweze kupambana na mafisadi bungeni kama slaa na wenzio.ccm kuindoa ccm madarakani tunahitaji tushikamane wananchi wote..kuna msemo unasema..THE GOVERNMENT SHOULD FEAR ITS PEOPLE AND NOT THE PEOPLE TO FEAR THE GOVERNMENT...TANZANIA JAMANI TUAMKE.TUENDELEE HIVI MPAKA LINI.

Kama vipi Kikwete mrudishe MREMA Serikalini.chonde chonde,amalize wezi hawa.
 
Kweli ukipenda chongo utaita kengeza lakini kaniki ni kaniki tu hata ukiifua kwa OMO inabaki kaniki tu. Mkuu Bata, mshauri shushushu Augustine Lyatonga Mrema arudi CCM, hiyo inaitwa "reunion" - sina shaka huko atapokewa kwa vifijo na nderemo kama shujaa ambaye single handedly alisambaratisha upinzani na kulirudisha taifa kwenye mfumo wa utawala wa chama kimoja. Na siku akifanya hivyo, aambatane na watiifu wake aliotoka nao huko ili hali ya kuchafukachafuka kwa hewa inayoiandama upinzani itokomezwe.

Aliwaita wapinzani wehu huku akiongoza vikosi vya FFU kuwatwanga virungu wanamageuzi. Leo hii kuna mtu anathubutu kujaribu kumsafisha kwa kudai aliongoza mageuzi ! Wengine tulionya toka kitambo kuwa kuna siku ataumbuka na kweli leo hii anaumbuka lakini watiifu wa Mzee wa Kiraracha bado hawaamini. Waliotoka CCM kwa kumfuata Lyatonga hawakufanya hivyo kwa sababu waliunga mkono mageuzi, la hasha walimfuata shujaa wao hadi wanawake wanalala uchi barabarani kumtetea ! Halafu leo wanatokea akina Bata wanajaribu kuzoa maziwa yaliyomwagika tayari !
 
Wazo zuri sana hili mzee,NITAMSHAURI ARUDI SISIEMU ndani ya mwaka huu atarudi nakuahidi.
 
Back
Top Bottom