The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

The very same chick poisoned president palmer by shaking hands

aisee-- yaani ukimcheki huamini she's that tough--she's favorite aisee hata kama hakupata airtime ya kutosha! i think am crazy over tough gals coz even Anna-Lucia wa LOST was my favorite as well though nae hakupata airtime ya kutosha!
 
Kwa wale wapenzi wa series za kijasusi,siasa za kimafia, ugaidi na upelelezi wakae mkao wa kula. Huku tukiendelea kuisubiria homeland na kuendelea kuangalia series kali ya Arrow na sasa tukae tayari kuipata 24 Live another day, baada ya kusubiria kwa kipindi kirefu sana hatimaye 24 Live another day itakuwa hewani kuanzia siku ya Jumanne hii tar 06/05/2015. Series hii itaanzia miaka minne baada ya ile season 8.
Kama mnakumbuka vizuri Jack alilazimika kuikimbia nchi yake akiogopa kukamatwa na Warusi na Wamarekani wenyewe, huku akimwomba rafiki yake kipenzi Chloe amtunzie binti yake.
Je ni kwamba atafanikiwa kuteka soko la filamu kama mwanzo, basi tuungane nae tuone nn kitafuata...............
View attachment 155836View attachment 155837View attachment 155838View attachment 155839

Updates:
episode 1 na 2 ziko tayari kwa uhakika zichek kickass.to,
Kwa mujibu wa http://www.televisionseries.org/24-Live-Another-Day ni kuwa episode 3 pia inatoka leo ila bado haijawekwa kickass.to mpaka sasa

updates:
S09E03 confirmed premier date 12/05/2014
https://www.youtube.com/watch?v=he6nHS2m2o0
http://findvideo.biz/show/24:_Live_Another_Day/9

Duh 24 hrs ni noma sutoisahau
 
Im dying waiting for Homeland Season 4 though am still mourning the death of Sargent Brody...fu'ck CIA, ---- Senator Lockhart.

Hahahaa mchape vibao
 
Attachments

  • 1399580094008.jpg
    1399580094008.jpg
    83.5 KB · Views: 129
Mkipata muda angalia Burn notice....bonge la series!!,my name is Michael western i used to be spy until....in Michael western's voice..angalia last resort
lost ina story ya ndege ya Malaysia ilipoenda..
 
aisee-- yaani ukimcheki huamini she's that tough--she's favorite aisee hata kama hakupata airtime ya kutosha! i think am crazy over tough gals coz even Anna-Lucia wa LOST was my favorite as well though nae hakupata airtime ya kutosha!

Innocent women?hahaha waogope sana watu wanaoonekana wapole usoni
 
Mkipata muda angalia Burn notice....bonge la series!!,my name is Michael western i used to be spy until....in Michael western's voice..angalia last resort
lost ina story ya ndege ya Malaysia ilipoenda..

mkuu hii last resort ni nzuri kweli mbona naona hapa ina season moja tu,,,itaendelea au
 
Waiting for season 4, I think Brody isn't dead yet
Brody had to be sacrificed to death ili kupandisha CV ya Majid Javadi...!! Si kazi ndogo kufanikisha kupaatikana kwa assassin wa IRGC Chief... as far as Majid amefanikisha hilo, u-Chief wa IRGC ndo ushakuwa wake na hivyo kuwa na sauti kubwa zaidi ambayo, kwa uzuzu wa CIA, wanaamini watafanikiwa kumtumia watakavyo huku wakisahau akishakuwa IRGC Chief tayari anakuwa na unavoidable power zitakazomfanya asiogope tena vitisho vya CIA kwamba wata-expose maovu yake!!! I bet Majdi atawageuka tu CIA na hapo ndipo watakapolijua jiji!!

Wa-Iran hawaaminiki!!!!
 
Ila hata akiwageuka,kuna hili li-mastermind hapa(Saul), huyu mzee kwenye season iliyoisha alikuwa serious vibaya sana. Alimtuliza Senetor akatulia pamoja na moto aliokua nao.
 
Attachments

  • 1399709740312.jpg
    1399709740312.jpg
    65.4 KB · Views: 105
Ila hata akiwageuka,kuna hili li-mastermind hapa(Saul), huyu mzee kwenye season iliyoisha alikuwa serious vibaya sana. Alimtuliza Senetor akatulia pamoja na moto aliokua nao.

stelingi akifa muvi imeisha,ndio ujinga wa series ya homeland na strike back.ndio maana haziwezi fanana na 24hrs where as Jack bauer hashindwi na lolote!
 
Brody had to be sacrificed to death ili kupandisha CV ya Majid Javadi...!! Si kazi ndogo kufanikisha kupaatikana kwa assassin wa IRGC Chief... as far as Majid amefanikisha hilo, u-Chief wa IRGC ndo ushakuwa wake na hivyo kuwa na sauti kubwa zaidi ambayo, kwa uzuzu wa CIA, wanaamini watafanikiwa kumtumia watakavyo huku wakisahau akishakuwa IRGC Chief tayari anakuwa na unavoidable power zitakazomfanya asiogope tena vitisho vya CIA kwamba wata-expose maovu yake!!! I bet Majdi atawageuka tu CIA na hapo ndipo watakapolijua jiji!!

Wa-Iran hawaaminiki!!!!

hata me nahisi hivyo Majid anaweza wageuka vibaya sana,,,ila bado kifo cha Brody kinanisikitisha sana
 
mkuu nipe mwanga kidogo. Hiyo kikckass.to ni free download kama piratebay au ni nini? Unaweza nitajia site ni download free hii 24 mpya?
jack alipata kumuamini sn huyu mtu sema ndo akazingua,,,,Tony Ameilda alikuwa akifanya yote ili aweze kupata uaminifu kwa yule jamaa Wilson aweze kupata nafasi ya kuonana nae, ili apate nafas ya kumuua kulipiza kisasi cha Wilson kumuua mkwe wa tony(Michelle)
Masaa yanapungua tu, tukutane http://kickass.to/
 
Im dying waiting for Homeland Season 4 though am still mourning the death of Sargent Brody...fu'ck CIA, ---- Senator Lockhart.

Yeah, me pia nahisi kama utamu umepungua. To me Homeland will be among 3 best Tv series I've ever watched. R.I.P Sergent brody.
 
Back
Top Bottom