The reason to why I didn't marry you!

Exactly...sema wengi hatusemi ukweli wa tunayokutana nayo, lakini kila mtu angesema ukweli tungekimbiana...

Imagine asilimia kubwa ya wadada ukiwauliza ume-date wanaume wangapi mpaka sasa,jibu utakalopata ni 2 ikizidi saaana ata-mention wa 3, hata kama ana msululu wa mabasi...[emoji56]

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 

Duh aisee mambo ni mengi
 
Naona members mmekuja na muamko wa kuhadithia history za maisha yenu Sasa hii ndio trending iliyopo Sasa hapa Jf

Safi Sana endeleeni kutupa story hizo tunajifunza mengi Sana kupitia nyinyi

Ikifika yako nijulishe niwe kiti cha mbele[emoji28][emoji28]
 
Cha msingi vijana wasifanye haraka kuoa,kama anakupenda atakuvumilia mpaka utakapokuwa tayari kuoa...sema mimba wanawake wanategesha sana,vijana tuendelee kutumia kondom wadada sasa hivi usipokuwa makini wanakupa watoto haraka haraka bila wewe kujipanga kama yeye ni mtu sahihi au la
 

Pole sana
You can always start afresh it’s never too late[emoji4]
 
INAENDELEA...
Tumeishia kwenye mahusiano na JF member mwenzetu, (no.7) ila sijamtaja jina ili kulinda heshma yake...

8. JF MEMBER 02.
Huyu pia naomba nisimtaje jina,katika kujadilijadili mambo ya JF moyo wangu ukiwa mfu kabisa kwenye mambo ya mahusiano,tulikuwa tukijadili a b c,za maisha na member mmoja (tukiwa mikoa tofauti) baadaye akaniambia ana safari ya Dar nikamkaribisha, nikamuuliza kama ana mahali pa kufikia akasema nimuandalie tu,nikatafuta hotel, tukakubaliana kwenda kucheck tulipocheck wote tukiwa salama tukajiachia kwa usiku kucha, akanisimulia mengi aliyopitia nikamhurumia sana lakini nikamwambia mimi sina mpango wa ndoa kwa wakati huo akasema pia si kitu anachokiwazia hata chembe, basi tukawa tunakutana tunamaliza haja za miili yetu kila mmoja anaendelea na maisha yake, baada ya miezi kadhaa nikashangaa sana, kumbe mdada alikuwa mke wa mtu na mumewe alikuwa anafanya kazi CRDB-BANK moja ya mikoa ya nchi yetu, nikashangaa zaidi imekuwaje????

Huyu sikumtafuta tena baada ya kujua ni mke wa mtu, (iliniumiza sana kihisia hii) kwa sababu sikuwahi kufikiria ku-date mke wa mtu maisha yangu yote! Japo aliniandikia sana kutaka tuendelee kwa madai kwamba yeye na mumewe walikuwa wamesha achana but I never looked back tukaishia hapo (najua lazima atasoma huu Uzi, ajue tu aliniachia maumivu makali mno)

Baada ya hapo sijapata tena kuanzisha mahusiano yenye malengo, najikuta nipo tu, hisia za kujenga mahusiano serious sina tena, I'm dating nimejifunza kutumia condoms japo sizipendi sana!

Japo kuna wakati nafikiria nifanye maamuzi serious nioe tu lakini ule moyo wa kuamua umekuwa mgumu...

Na ukweli hao 7 nilikuwa na malengo ya kuoa kabisaaa, ila baada ya hayo na kukata tamaa nadhani kuna wengine kama 13 ambao nime-date nao bila kuwa na malengo yoyote, we date thereafter kila mtu anaendelea na maisha yake, hii Hali siipendi sana pia as nakosa ujasiri wa kuingia ibadani kumuabudu Mungu nikijitazama kwenye hiyo angle, niombeeni sana nitoke kwenye huu mfumo wa maisha ndugu zangu...

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa nilimpenda Mary, lakini mwisho wa siku kukutana na ushirikina haikuwa jambo rahisi kulivumilia, na sijui alikuwa amenifanya nini...

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Bila aibu pia bado ukarudi kwake pamoja na ushirikina, baada ya kuona ushirikina wake ulitakiwa kujipa muda wa kutafakari kabla hujaingia kwenye mahusiano mengine, wakati mwingine kuingia kwenye mahusiano wakati una stress za mahusiano yaliyovunjika ni sawa na kutafuta temporary solution, at the end umejikuta katika historia ambayo naamini hata wewe huipendi
 
My friend,nimesema hapo juu, nilichokuwa nafikiria na nilichokuwa natenda ilikuwa vitu viwili tofauti,akili yangu iliamua kabisa kutomrudia tena, lakini from nowhere nilikuwa najiendea kama kondoo anayekwenda kuchinjwa, yaani sielewi nilikuwa napatwa na kitu gani

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana, sasa mary iliishiaje, did i miss something here? Hongera pia kwa kujifunza kutumia protection, for the time being una watoto wangapi +wale wa kubambikiwa?
 
Huyu sikumtafuta tena baada ya kujua ni mke wa mtu, (iliniumiza sana kihisia hii) kwa sababu sikuwahi kufikiria ku-date mke wa mtu maisha yangu yote! J

🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
 
Ila mkuu Ni Kama nmepata kigagaziko yaan mpk unakua ndo hao tu Kisha unajiona umeumizwa. Kuna watu tukianza tu kuandika idadi Bila story inafika urefu wa story yako. Sio kwa kujisifu Bali changamoto tu mpk wengine unawasevu kiduku wa Sinza, JF1,JF2, Muuza viatu, mdada wa kigoma, nesi wa moroco, mdada wa kidoti na kadhalika. Tatzo kila mahusiano ulikua unaweka ndoa mengine tizi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…