KakindoMaster
JF-Expert Member
- Dec 5, 2006
- 1,356
- 91
Duuh! Sasa JF itafungiwa!
Alikuwepo ila sasa hivi amestaafu toka jeshini. Anaitwa Kyaro - mtu wa Musoma aliyekuwa karibu kabisa kumtoa Mwinyi.
Huyu Chenge inaonekana ana mihela sana, huyo lawyer wa Cleveland OH naye analipwa kiasi gani?
Kuna mtu yoyote humu ameshaona lile bungalow lake kijijini kwao?
Hivi hapa Bongo kama Muungwana kashindwa hakuna MTU JESHINI anayeweza kurudisha nidhamu?
La nani...Chenge? Huyo ni jirani yangu pale Bariadi....
Hivi jamani naomba tena niulize swali inakuaje RAiS wetu kila rafiki yake anakasoro (amechafuka)?
kakindomaster said:Hivi jamani naomba tena niulize swali inakuaje RAiS wetu kila rafiki yake anakasoro (amechafuka)?Wale mashabiki wa chama changu (CCM) hili liko je?
Zamani babu yangu aliniambia mjukuu wangu ukionekana unatembea na majambazi nawe utaitwa jambazi hivi huyu Jk (mwenyekiti wetu) amekosa marafiki?
Kama rafiki zake JK wote, tena wale wa karibu kabisa, sio safi, tunategemea kweli yeye atakuwa safi? He seems not to care or being interested at all in serving the walalahoi. But very much at easy, himself and the madam, in wondering around the globe, at TZ govt cost.
BAE corruption investigation switches to Tanzania
· Focus on £28m radar deal with East African state
· SFO's new director due to take over this month
Jamani acheni kumuonea Huyu Chenge ana mikopo bank. Kuna article niliiona inaonyesha anadaiwa $63,000 na NBC bongo. Sasa kwa nini hamjiulizi kabla ya kumshutumu kuwa endapo ana deni la $63k bongo anaweza akawa na madeni bank nyingine? Pia ana biashara ya kusafirisha Prawns. Acheni kuwahukumu watu kabla hawajahukumiwa.
Kama mnataka article inayoonyesha kuwa anadaiwa $63k na NBC kama ushahidi semeni niilete hapa.
A minister from the east African state has denied that more than $1m (£507,500) in his offshore accounts came from BAE.
Investigators involved in a three-year inquiry after the controversial deal to sell Tanzania a £28m radar system identified the money in Jersey accounts controlled by the poverty-striken country's infrastructure minister, Andrew Chenge.
http://www.guardian.co.uk/world/2008...ystemsbusiness[/B]
Tanzania railway ambayo ni TRL ya sasa pia YUMO!
Jamani hamumuwezi.
Ngoma nzito hiyo