Ukiweza tuwekee hayo majamboz please. Ila pamoja nakuwa anamkandia Mkapa sasa hivi, inakuwaje alipokuja TZ hakuwa na ubavu wakufanya hivyo bali alirudi Uingereza nakuanza kushabikia huo ufisadi? Huyu mama ni kigeugeu. Mzee Mwanakijiji hebu fanya vitu vyako umpate huyu mama halafu akueleza huu ukigeu geu wake ni sababu ya nini?