Grand Master Dulla
Naona historia inakupiga chenga. Wewe unawazungumzia wakimbizi wa 1959 na kuwachanganya na koo za wahima ambao wameishi Tanganyika karne kadhaa sasa! koo hizo ndizo zilikuwa zinatawala huko Kagera na baadhi ya maeneo ya Kigoma na Ukerewe! soma zaidi ujielimishe kuhusu Hima Empire ktk eneo la nchi za maziwa makuu,siyo kuja na stori za vijiweni.

Last edited by a moderator: