The power of the Bahima Empire | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The power of the Bahima Empire

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Gama, Sep 5, 2010.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kuna tetesi kuwa ushindi wa rais wa sasa wa Burundi umefifilisha ndoto ya wahima wote wanaoishi katika ukanda wa maziwa makuu ya kuhakisha kuwa nchi zote za ukanda huu zinatawaliwa na wao.

  Ili kuirejesha burundi katika himaya hii inasemekana kuwa aliyewahi kuwa kiongozi wa nchi hiyo: Mjr Buyoya akishilikiana na viongozi wengine wa hima empire wameandaa mpango wa vita kwa lengo la kuwateketeza wasio wahima katika nchi ya burundi.

  Katika mpango huo, makundi ya wahutu yaliyoshindwa uchaguzi yatafadhiwa na waandaji (Buyoya, Kagame, Mu7) ili waanzi mapigano kisha viongozi hawa wataleta makundi ya wapiganaji wa kihima kutoka kongo,rwanda na uganda kuteketeza wasio wahima.
   
 2. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Najua hii ina ukweli, lakini hatuna muda wa kuijadili kwa sababu na sisi tuna wahima wetu (CCM) wanatuhangaisha kweli kweli hapa nchini. Wamejipa haki ya kutawala milele sawa tu na wahima wa Uganda, Rwanda na Burundi.
   
 3. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuishi kwa hisia ni jambo la hatari, hoja kama hii ni ya kipumbavu na ndiyo maana unasema ni tetesi! This is a conspiracy theory, kuishi kwenye nguvu za giza, a sorcerer at your best! Nakushauri ujikite kwenye CCM au chama kingine kuliko kufuatilia ya nje usiyoyajua!
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  well said, we have our buyoya -jK and his ccm
   
 5. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Seconded!
   
 6. D

  Dick JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kampeni yao ya siku nyingi, sasa wanataka kutekeleza. Watch out!
   
 7. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  jambo hilo si rahisi kwa ulimwengu wa sasa. dunia ilijifunza sana na rwanda genocide, hivyo hakuna nchi itakayokaa kimya tena bila kuingilia kustop another genocide. hao unaowaita wahima, ni wachache sana, hapa east africa uwezo huo hawana. pamoja na kwamba, kusema ukweli, wana kiburi cha ajabu sana, kuanzia kagame hadi m7, ni watu ambao ni wa kuwaogopa, wana kiburi, kisirani na wabaguzi wa chini kwa chini.

  kagame kwa sasa sisi watz tumempunguza, unakumbuka kipindi kile cha kuhamasisha east africa federation yeye na m7 walikuwa wanatoa wazo kuwa kenya, uganda, rwanda na burundi zijiunge kuiexclude tz, yaani alishataka kuanza kuvamia gari kwa mbele wakati rwanda ni mgeni kabisa kwenye east africa community, tayari alishafika chumbani wakati kakaribishwa sebuleni. nafikiri rwanda inatakiwa kumpata kiongozi mwingine mhutu, ambaye atakuwa anaiongoza nchi pasipo kinyongo na visirani. atakayeamini katika kusameheana na kuanza maisha mapya...mabifu ya chini kwa chini kama hayo ndo yaliyoleta genocide kipindi kile...kwasababu mtu akionewa kwa muda mrefu, anakuona adui na inaishia kujitoa muhanga kupambana na wewe. ndivyo inayowasubiria m7 na kagame kwasasa.
   
 8. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwenye grey humo kuna ukweli. Nashauri Tanzania ijikite katika masuala yake beinafsi, tujiingize nje pale maslahi yetu yanapoguswa, kuanza kuumiza kichwa kwa sababu ya watu waengine wakati una ya kwako chungu mzima, ni ujinga! Unaweza kupoteza masiha yako pia, kwa sababu watu ambao wameshaumia kwa muda mrefu, hawakawii kukupitia, mmesayasahau ya Mwaikusa, hata kama alikuwa akifanya kazi yake, those guys don't care!
   
 9. K

  Koba JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Another BS,nyie watu na umaskini wote na njaa mlizonazo mtaacha lini hizo conspiracy zisizo na kichwa wala mguu,kweli waliosema upunguani sio lazima kuokota makopo nimeamini!
   
 10. The Quonquerer

  The Quonquerer JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Mimi ni mpinzani mkubwa wa conspiracy theories kama hizi, ni mpumbavu tu anayeweza kuamini mambo kama hayo ya utawala wa bahima. Lakini na wewe, usidhani kwamba Rwanda ni matajiri, nao ni maskini tu kama wengine, mbaya zaidi amani hakuna na mbele kuna kiza kinene! Tanzania ni tajiri watu wanatakiwa kusoma zaidi, Rwanda ardhi hakuna wala rasrimali yoyote kama walivyo wengine 'majirani' na ndiyo maana wanashashadadia muungano wa kulazimisha! But again TZ has been more generous than any state in the region in hosting refugees from unruly neighbors, i don't know who will compensate TZ, God know!
   
 11. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  si nasikia hadi kwenye selikali yako wahutu wameingia?...hatujui ni wapi. wasomali na wahutu wanaweza kuwa wamejaa kwenye selikali yako, hivyo ni kitu rahisi tu wakiamua kufanya hivyo. si wanao maajenti ambao hawawezi kuisaliti damu yao ya kabila walizotoka? haujui kama damu ni nzito kuliko maji? au?
   
 12. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,302
  Likes Received: 10,341
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika zaidi: Ila nasikia Bahima empire ni moja ya empire zilizokuwa na nguvu sana hapa Africa.

  Hii empire nasikia ilikuwa kwenye maziwa makuu.

  Kuna tetesi kwamba nyuma ya pazia kati ya rais wa Uganda, Rwanda na DRC wanataka kuirejesha hiyo empire.

  Na hii EAC ni kama chambo cha kuanzisha hii empire. Nasikia kuna mazungumzo ya chini kwa chini kuhusu hii issue kati ya maraisi tajwa.

  Labda mwenye ufahamu zaidi kuhusu hili maana mimi sina uhakika.
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Kuna mada niliwahi kuisoma kwenye gazeti la MwanaHalisi kuhusiana na hii empire bahati mbaya kila nikijaribu kuigoogle haipatikani.
   
 14. Ryaro wa Ryaro

  Ryaro wa Ryaro JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 2,663
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mambo ya Kusikia na bila hata evidences ....
   
 15. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wahima ni watu wengi wanaojiona kama hawana nchi isipokuwa sehemu yoyote yenye kuwa na malisho mazuri ya Ng'ombe ; hapo ni kwao.
  Maraisi wa Uganda, Burundi, Rwanda, Na banyamulenge wote ni wahima na hawatofautiani na wa Tutsi. Kwa Tanzania eneo la mkoa wa kagera ndo wanalichezea sana.
   
 16. A

  Anacletus Member

  #16
  Nov 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kunakabila linalojulikana kama Wahima nao wanaishi Tanzania maeneo ya Runzewe kwahiyo hawa jamaa naamini wanauhusiano na Bahima Empire kama siyo majina kufanana.Inawezekana kuwa hao wakawa na uhusiano Empire hiyo.
  Hivyo haiwezekani kuwa hawa jamaa wakahusiana na hiyo kwa sababu wako mbali sana japo asili ya wahima na watusi ni moja.
   
 17. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,137
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  More information is needed here.
   
 18. M

  Magurudumu JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,751
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hili lilijulikana siku nyiiingi na usalama wa taifa wakalifanyia kazi wewe ndo unalileta huku. Ni kweli nia yao haikuwa nzuri ndo mana walimchukia sana JK alipokataa lobbying zao kwake.
   
 19. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,302
  Likes Received: 10,341
  Trophy Points: 280
 20. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nina wasiwasi na wewe unaweza ukawa mmoja wao,kuhusu wahim/watusi ha watu ni wabaya sana na sisi watz hatuwawezi hata kidogo wametuzidi akili sana,wakatin sisi vingozi wetu wanaangaika wataiba vipi hela wenyewe wanaangaika watatutawala vipi?,hahwa jamaa ni hatari sana mana kwa tz tu wapo kila sehemu wamepenyeshwa na Kagame kuanzia polisi,migration,healthy services,universities administration na kila sehemu hatuna tunachoweza kufanya sisi wao wasijue yaani wamedevelop the same system israel used against sorrounding arab nations.

  hawa jamaa wamefanikiwa kuzitawala nchi zote za ukanda huu kasoro tanzania ambapo wakati wowote wataichukua na kenya ambapo inawawia vigumu kupenyeza wa2 sababu ya umbali na tofauti ya makabila.

  Unakumbuka miaka ya mwanzo ya 2000 kulikuwa na vita kongo kati ya Congo, Angola, Tz na Zimbabwe dhidi ya Rwanda na Uganda. Kuna siku walikutanishwa Paris na Jack Chirac kuwapatanisha waache vita, Mugabe kwenye mkutano huo alikuwa amekaa na Kabila, Kabila akamwambia Mugabe unamwona yule pale Bitzumungu kiongozi wa Rwanda na pembeni yake ni Kagame msaidizi wake lakini kiukweli haswa ni Kagame ndiye anayeongoza nchi na yule Bitzimungu ni boya tu na hakustahili kuja huku. Museveni aliyekuwa amekaa pembeni yao akawakemea na kuwakatisha akiwaambia kuwa mkutano ule si wa kuongelea vitu kama hivyo!! Mugabe akastuka akamtazama Museveni halafu akamwambia nimesikia watu wengi wakikusifu kwamba wewe ni mwerevu na una akili sana lakini sasa naona waziwazi kuwa walitia chumvi tu. The issue of Tutsi domination is real issue and probably its the issue which this meeting supposed to discuss, Musseveni akanywea.

  Watutsi hatuwawezi wapo hadi south afrika na wameshika nyadhifa za juu huko S.A,sasa kama nchi kama south wamejipenyesha sisi tutawaweza? Zambia nayo wapo watutsi wamejipenyesha hadi uongozi wa juu unajua mbona kwa kifupi hatuwawezi na nchi yetu iko hatarini sana hao wahutu ndio wananyanyaswa rwanda nenda kwenye university yeyote ile duniani ulizia wanafunzi wa kinyarwanda na utaona kama atakuja mhutu hata mmoja wote watakuja watusi,jamaa bado kaendeleza ubaguzi sema kauficha sana,

  Unajua rwanda ni nchi ndogo sana ambayo hata sehemu ya kulimia na kufugia hakuna na ndiyo maana huyu jamaa kagame ameamua kuiingiza nchi yake kweny EAC ili watu wake awapunguzie kwetu apate kupumua japo kidogo,nilisikia juzi kuwa mpaka wetu na rwanda umeshabadilishwa jamaa washatuchukulia ardhi yetu lakini viongozi wetu wamelala tu wanaoteshwa namna gani ya kuiba bila watu kujua.na mpaka wetu na uganda nasikia umebadilishwa sana lakini huoni viongozi wetu wakilishughulikia hilo!!

  Hawa watusi wanajiingiza tz wakikimbilia bukoba na ngala na kigoma watu wote wanaotoka mikoa hii inabidi tuwatazame mara 2 kabla ya kuwapa madaraka mana mtusi ni mtusi tu ni nyoka.
   
Loading...