not too personal, nimekuquote hapo juu kuna sehemu umesema anayekuanza siyo lazma awe first lover, mhh hii inakuwaje? unaweza ku do na mtu hata usiyekuwa na mahusiano naye?
from ur experience....
unasemaje?
its personal with no any effects, just tell us!!
wewe ilikuwaje?
unayo bana, ...
hiyo hot sex and unforgettable..with ur first lover
haikuwa mara yako ya kwanza kumake love right?
first time without virginity?
au ni tofauti..
au sijaelewa maana ya hot sex?
kwa hiyo wewe unaamini power of love inaweza kujengwa na hot sex?
hivi making of love to the hot state, kunasababishwa na,upendo au just mautundu tu?
Power of love inaweza kupelekea hotsex na siyo hotsex kujenga power of love.
mhh hapo kinaanza kipi? kumbuka umesema wewe na mpenzi wako mlianza kama marafiki nguvu ilikuwa si kubwa, ila mlivyoanza mapenzi nguvu ikaongezeka zaidi.
hapo unaonaje kama siyo sex imecoz power of love kuongezeka..
afu umesema kwa sasa unapenda kwa mazoea tu! why? uliyempenda kwa dhati alikutenda?
kiwatengu kuingia kwenye mahusiano haimaanishi ndo kuanza sex ila kunakua na ushirikiano zaid ya mnapokua marafiki,
napenda kwa mazoea kutona na kutokupata mtu aliyeupokea upendo wangu kama yule wa mwanzo,
wala hajanitenda nisimsemee uongo mkaka wa watu,
"i'll always miss you papa G".
so wewe ndiyo ulimtenda? sorry au hayupo tena?
hili swali hujanijibu..ndiye aliyekuvirginate?