Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Arijentina.
Will you marry me, my super wife?? I LOVE YOU:A S crown-1::A S crown-1:
Arijentina.
Taifa linajengwa na sisi wenye moyo wa kununua bia kwa wingi.
Huyo anayekuuliza maswali mbona hajaomba kibali kwangu? Hajui mim na wewe hatujafahamiana gulioni katerero??
Ntaua mtu wallah:embarrassed:
Will you marry me, my super wife?? I LOVE YOU:A S crown-1::A S crown-1:
Kunakua na msukumo ndani ya moyo na akili unaopelekea kufanya kitu ambacho inakuwa ni vigumu kukifanya kwa mtu mwingine tofauti na yule nimpendaye.
Una power of love?
Kunakua na msukumo ndani ya moyo na akili unaopelekea kufanya kitu ambacho inakuwa ni vigumu kukifanya kwa mtu mwingine tofauti na yule nimpendaye.
Taifa linajengwa na sisi wenye moyo wa kununua bia kwa wingi.
Huyo anayekuuliza maswali mbona hajaomba kibali kwangu? Hajui mim na wewe hatujafahamiana gulioni katerero??
Ntaua mtu wallah:embarrassed:
Babu lala basi,tutaongea kesho asubuhi,
Like what jawilat, wewe umesema uliwahi kuiona power of love, na kiashiria ni kufanya kitu kwa msukumo huo msukumo wako uliufanya kwenye nini?
Kwenye mapenzi,ile nguvu ya mapeni inaweza kufanya mtu kupenda kupitiliza naweza nikasema hivyo,
inafanya kutenda mambo yaliyovuka mipaka yote sababu ya hii power of love,
Samahani mkuu, hukutoa angalizo kuwa hatutakiwi kuleta wivu kwenye kathread. Haka ka Jawilat kameshanizungusha sana nikajua leo ndo nakamwagia mai pawa ofu lavu from ze mido ofu my kitovu endi mapaja.....
Twende PM kwanza. Nimechoka kufanywa mshika pembe....:second:
Samahani mkuu, hukutoa angalizo kuwa hatutakiwi kuleta wivu kwenye kathread. Haka ka Jawilat kameshanizungusha sana nikajua leo ndo nakamwagia mai pawa ofu lavu from ze mido ofu my kitovu endi mapaja.....
Baada ya kusema hayo napenda kuwatangazia rasmi kuwa mabingwa wa kombe la dunia (IRAN) wamenikaribisha kula ka lunch pale Ajentina, jirani na TipTop Manzese. Simba wote mnakaribishwa, mje wizauti.
Una kiherehere kama Brazil, utapigwa saba wallah....Uuuwi babu jamani taratibu na mbavu zangu....
Power of love kwa mtu inaweza ikasababisha usione mwingine kabisa awe rafiki,mzazi au ndugu,
binafsi nimewahi kupatwa na power of love,kwa bwana mmoja hivi,
nilikua tayari kwa lolote kwake,siyo kwa alivyonipenda ila ni kwa nilivyompenda,
Kangara. Afu kuna kaMod kamenambia eti nachakachua sred......... hivi sredi nazo zina mchepuko? Nikila Ban usinisahau kwenye ufalme wako Wozap.......... Mi nataka kujifungua na wewe.Babu leo banana au wanzuki?
Kwa nini unatumia wakati uliopita kwenye sentesi yako?
unataka kusema hiyo power of love haipo tena?
Kwa nini unatumia wakati uliopita kwenye sentesi yako?
unataka kusema hiyo power of love haipo tena?