The power of Love...

The power of Love...

shemdarl Asprin wewe unajua huwazi kwingine zaidi ya ndani ya kyupa na ndani ya kyupi!Lol

kiwatengu nini maana ya mapenzi?
-tunaweza kupenda bila kumake love/kusex
-nini kinafanya uwe na power of love?
-manifestation yake?
-power of love lazima iwepo kwenye mahusiano
-kwani huwa inafanya penzi lidumu?
-naweza kuiita uvumilivu?
-ni tendo la hiari?
Hahahaahah mke wetu bhana........ I guess you know me sanaaaaaa........
 
ongeza maisha babu afu tafuta mtu amuinterview huyu kipenzi changu hata mkeo atafaa tu
ila sio faragha
Aaaaa wapi, sidanganyiiiiiiikiiiii!!! Si unajua tena, If you can't take the heat, get out of the kitchen?????
 
Back
Top Bottom