Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Kwa sasa napenda kwa mazoea,hamna tena power of love,
Hau oldi aa yuu mai kwiin?
Kwa sasa napenda kwa mazoea,hamna tena power of love,
Kangara. Afu kuna kaMod kamenambia eti nachakachua sred......... hivi sredi nazo zina mchepuko? Nikila Ban usinisahau kwenye ufalme wako Wozap.......... Mi nataka kujifungua na wewe.
Hau oldi aa yuu mai kwiin?
power of love ni lazima iwe tu kwenye mapenzi?
Wimbo ulioimbwa na Celine Dione ~ Power of Love ambao unahusiana na mahojiano yenu
Si useme tu msukumo wa kuvua kyupi??? Hivi unajua hata mbuzi ana huo msukumo tatizo tu anakuwa hana kyupi? Mbuzi nae ana kapawa ofu lavu????
Binafsi naamini power of love ni katika mapenzi,yawe ya mume kwa mke ama mtoto kwa mzazi,ama ndugu kwa ndugu,ila iwe ndani ya mapenzi(upendo)
Ntalala ukinijibu: Wakati unaendeshwa na pawa ofu uzinzi, ulishawahi kuchakachua/kuchakachuliwa?Lala kwanza kangara ikiisha uje.
good, nguvu zote ziko sawa?
mfano...mama kwa mtoto, na mwanamke kwa mume wake...
turudi kwako hujasema wewe power yako ilionekana wapi, hujaweka wazi hapa japo kuwa umelisemea kwa uchache
Ntalala ukinijibu: Wakati unaendeshwa na pawa ofu uzinzi, ulishawahi kuchakachua/kuchakachuliwa?
Kesho ntaomba sir kiwatengu awaulize kama mnajua maswali anayowauliza..... LOVE ni kitu pana sana.
Kwa mfano mimi babu enu
I LOVE my mama,
I LOVE my daddy,
I LOVE my daughters,
I LOVE my wife,
I LOVE beer......
Hii pawa ofu lavu, ni pawa ya chini ya kitovu au ni pawa ya moyoni????
Babu anarudi kitandani kulala.......
oshh..kitu gani kilikufanya umpende hivyo?
Na sidhani kama nguvu zipo sawa,manake upendo wa mzazi kwa mtoto unakua hauna sababu,
ila mara nyingi upendo wa mume kwa mke and vice versa unakua una sababu zake, kwa hivyo hapo lazima kuwe na tofauti.
Ilikua kwa mwanaume,my first lover..i loved him aisee,
nilikua tayari kwa lolote kwake,nilikua tayari nilale njaa yeye ale,
Wivu sina ila roho inauma.......... Hivi kumbe Matesha anaweza tokea kupenda juanaume jingine kuliko mimi dady ake?
Sir kiwatengu na Jawilat sorry kwa uchakachuzi, just wanted kufanya topic iwe hot..... isiwe tuuuuu serious...
Baada ya kusema hayo, navua boxer nalala na bibi yenu.
Samahani kama nimewakwaza.....
Be happy........Enjoy............!!!!!