The power of Love...

The power of Love...

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Ladies and Gentlemen, nawaletea discussion nyingine tena.
Usiku wa leo nipo na Jawilat, kama topic inavyojieleza

We are talking about Power of Love...
 
Kunakua na msukumo ndani ya moyo na akili unaopelekea kufanya kitu ambacho inakuwa ni vigumu kukifanya kwa mtu mwingine tofauti na yule nimpendaye.
Sawa tuanze na kwako..kitu gani kilichokuonyesha ukajua hii ni power of love? namaanisha viashiria vipi
 
Back
Top Bottom