The power of Love...

The power of Love...

Wivu sina ila roho inauma.......... Hivi kumbe Matesha anaweza tokea kupenda juanaume jingine kuliko mimi dady ake?

Sir kiwatengu na Jawilat sorry kwa uchakachuzi, just wanted kufanya topic iwe hot..... isiwe tuuuuu serious...

Baada ya kusema hayo, navua boxer nalala na bibi yenu.

Samahani kama nimewakwaza.....

Be happy........Enjoy............!!!!!

babu uko vizuri sana!!! #respect
 
Last edited by a moderator:
Ok! twende sawa sasa, umesema vyema kwamba wewe ilikuwa kwa mwanaume, nini kilikufanya umpende hivyo?
Mungu wangu, naomba jibu lisiwe navyofikiria....

Usiku mwema, bibi aligoma kufungua geti kwa muda.....
 
Hapana sijasema kuna aliyenianza na aliyekua first lover,nadhani kuna mahali haujanielewa,
ila siamini kwamba power of love ina uhusiano wowote na firstlover,
nataka nihusishe first sex na power of love..

ur first lover kama hajakukuta bikra, inakuwaje sasa na ni kwanini umuite first wakati kuna aliyekuanza?
 
Hapana sijasema kuna aliyenianza na aliyekua first lover,nadhani kuna mahali haujanielewa,
ila siamini kwamba power of love ina uhusiano wowote na firstlover,

ok ok.. ila mapenzi ya mahusiano ndiyo yana nguvu yenye impacts!
sasa wewe ulianzaje mpaka ukaigain hiyo power na ukaifeel haswa hadi ukawa tayari jamaa ale wewe ulale na njaa
 
Inatokea tu,wala haipangwi vipi uanze na vipi iishe,yaani siyo kama music,ama movie..
ok ok.. ila mapenzi ya mahusiano ndiyo yana nguvu yenye impacts!
sasa wewe ulianzaje mpaka ukaigain hiyo power na ukaifeel haswa hadi ukawa tayari jamaa ale wewe ulale na njaa
 
Back
Top Bottom