S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,653
- 32,890
Natumai umepita hapa mkuu
Cc: aretasludovick
Ndio Nimeiona mkuu
Last edited by a moderator:
Natumai umepita hapa mkuu
Cc: aretasludovick
Lazima itawagusa tu...... What's goes around always comes around! Na kama utakuwa lucky basi utakuja kushuhudia karma inavyowashugulikia
Mkuu kwanini umeamua kufufua hii thread leo? Nahisi una jambo la muhimu sana, na ingekuwa vizuri utufunulie na sisi tusiojua kinachoendelea. BTW Mayalla kwa kisukuma lina maana gani?Nafanya tuu kidogo rejea ya karma kwa baadhi ya mambo yanayowakuta wanasiasa wetu. Kuna wanasiasa wanakula matunda ya mema ya karma, na japo mambo yote hupangwa na Mungu, sii wengi wanaoujua kuwa hukumu ya karma ni hukumu ya Mungu hivyo pia kuna wanasiasa wanakula bakora za karma.
Paskali
Ha haa hahaa, uchokozi huo sasa!Mkuu kwanini umeamua kufufua hii thread leo? Nahisi una jambo la muhimu sana, na ingekuwa vizuri utufunulie na sisi tusiojua kinachoendelea. BTW Mayalla kwa kisukuma lina maana gani?
Naamini duniani kwa kila jambo utakaliletenda au kumtendea mtu lazima ulipitie kabla ya kwenda kwa mola, na malipo ni hapa hapa duniani mbinguni tu naenda kutoa hesabuNafanya tuu kidogo rejea ya karma kwa baadhi ya mambo yanayowakuta wanasiasa wetu. Kuna wanasiasa wanakula matunda ya mema ya karma, na japo mambo yote hupangwa na Mungu, sii wengi wanaoujua kuwa hukumu ya karma ni hukumu ya Mungu hivyo pia kuna wanasiasa wanakula bakora za karma.
Paskali
Pasco
Mkuu Pasco,nimetoka kwa kanisa,nafungua JF tu,uzi wa kwanza kukutana nao ni huu.Ikabidi niweke gari pembeni,niusome mpaka mwisho,halafu ndio nikaendelea na safari zangu.
Hii kitu ungeandaa hata kitabu au fanya semina kaka,itasaidia watu wengi kujitambua.
Ubarikiwe sana Pasco na akhsante kwa neno jema sana kwa jumapili ya leo.Hakika hii imekuwa ni siku njema sana kwangu,kwanza kwa mahubiri niliyoyapata kanisani na pili kwa darasa hili la kwako.
Mkuu Macho Mdiliko, ni rejea tuu.Mkuu kwanini umeamua kufufua hii thread leo? Nahisi una jambo la muhimu sana, na ingekuwa vizuri utufunulie na sisi tusiojua kinachoendelea. BTW Mayalla kwa kisukuma lina maana gani?