"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

Mkuu Pasco @ einstein newton Jimena vipi kwa wale mafisadi wanaotuibia pesa zetu then wanakula raha wao na vizazi vyao, hii karma inawagusaje

Lazima itawagusa tu...... What's goes around always comes around! Na kama utakuwa lucky basi utakuja kushuhudia karma inavyowashugulikia
 
Last edited by a moderator:
Lazima itawagusa tu...... What's goes around always comes around! Na kama utakuwa lucky basi utakuja kushuhudia karma inavyowashugulikia

Kuna hii inasemwa ukitoa sadaka usitegemee kitu sasa vipi mimi nataka nianze na wale omba omba kwa level yangu vipi karma itanihusu au kwa kuwa nimedhamiria sitofaidika
 
Nafanya tuu kidogo rejea ya karma kwa baadhi ya mambo yanayowakuta wanasiasa wetu. Kuna wanasiasa wanakula matunda ya mema ya karma, na japo mambo yote hupangwa na Mungu, sii wengi wanaoujua kuwa hukumu ya karma ni hukumu ya Mungu hivyo pia kuna wanasiasa wanakula bakora za karma.

Paskali
 
Mkuu kwanini umeamua kufufua hii thread leo? Nahisi una jambo la muhimu sana, na ingekuwa vizuri utufunulie na sisi tusiojua kinachoendelea. BTW Mayalla kwa kisukuma lina maana gani?
 
Naamini duniani kwa kila jambo utakaliletenda au kumtendea mtu lazima ulipitie kabla ya kwenda kwa mola, na malipo ni hapa hapa duniani mbinguni tu naenda kutoa hesabu
 
Mkuu sijui uko kanisa gani,maana mambo aliyoandika Pasco hayakubaliani na imani ya Kikristo kwa kuwa mtu hahesabiwi haki kwa matendo yake tu.Imani ya kweli ya Kikristo inapatikana Warumi 3:20-24.Mtiririko huu unapatikana pia Yohana 3:16.Kinyume cha hapo ni heresy mkuu.Infact alichoandika Pasco ni "heresy." Matendo yana-support "true faith" in Jesus Christ,lakini matendo peke yake si kitu.Soma Yakobo 3:14-26.
Pasco
Mkuu Pasco,nimetoka kwa kanisa,nafungua JF tu,uzi wa kwanza kukutana nao ni huu.Ikabidi niweke gari pembeni,niusome mpaka mwisho,halafu ndio nikaendelea na safari zangu.
Hii kitu ungeandaa hata kitabu au fanya semina kaka,itasaidia watu wengi kujitambua.
Ubarikiwe sana Pasco na akhsante kwa neno jema sana kwa jumapili ya leo.Hakika hii imekuwa ni siku njema sana kwangu,kwanza kwa mahubiri niliyoyapata kanisani na pili kwa darasa hili la kwako.
 
Mkuu kwanini umeamua kufufua hii thread leo? Nahisi una jambo la muhimu sana, na ingekuwa vizuri utufunulie na sisi tusiojua kinachoendelea. BTW Mayalla kwa kisukuma lina maana gani?
Mkuu Macho Mdiliko, ni rejea tuu.
Mayalla kwa Kisukuma sio njaa bali ni ukame unaosababisha baa la njaa.

Kuna tofauti kati ya njaa ya tumbo kukosa chakula ambayo dawa yake ni kupata mlo na kushiba na baa la njaa lilosababishwa na ukame.

Paskali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom