The Only Thing We Have to Fear is Fear itself

Poa King William.Nashukuru kwa kunikaribisha ingawa najiona mwenyeji kwa kuwa ni muda mrefu nafuatilia huu mjadala.
Mimi naamini hapa hakuna kukwazana, kuna kuelimishana ki-utu uzima. Ulichoeleza wewe ni mtizamo wako na kila mmoja anawajibu wa kuheshimu mtizamo/maoni ya mwenzake kwa hiyo usiwe na shaka.
what I meant is not to teach anybody; my advice to Mbowe is well intended. By appearing in his real name he is definately limiting his scope of discussion;
as time goes we will all witness his withdrawal or else, his inability to respond openely to some issues. This is because he has a lot at stake unlike the anonymous lot of us. Here we want openness in expression; he has curtailed his by making himself known. This is my opinion, everyone of us has his opinion.
I prefer to have his wholesome opinions, which he cant give in that public fashion.
Besides, this forum may be considered by some short-sighted politicians as biased in some areas, we dont wanna lose sight of our goals.
It is debatable!
 
Mimi napenda kutofautiana na wale wanaosema kuwa Bw Mbowe is committing political suicide by joining us.We should embrace people like him,watu wengi hapa wamepata fursa kutoa maoni yao kuhusu yeye na wakiwa wana uhakika kuwa atayasoma.
Lets just not be abusive,tujione wote ni kama wanabodi,na tuulizane maswali kistaarabu,sio kiudaku.Leo hii akiingia humu JK kweli tutasema kuwa anajiua kisiasa,kwani tunachoandika humu si ni kutokana na uchungu wa nchi yetu,sasa inakuwaje tena tuanze kuwafukuza wale ambao wana majukwaa ya kikweli na kuongea kwa niaba yetu? Kama kwelli leo hapa tunasema kitu cha maana Mbowe akataja kwenye mikutano yake ya hadhara huko,si tutakuwa tumetimiza lengo letu? Kama kweli watu tuna uchungu na nchi yetu,then ni faraja kuwa na mtu kama Mbowe humu,maana yeye naye atawavuta wengi.
 
I like spirit ya Ndabita na Mzee ES katika kupingana kihoja.

Nimesikitika sana kuona kuna watu kama Mgonnjwa wa Ukimwi wanafikiri Mbowe ame-commit political suicide kwa kuingia hapa. Mimi nina amini hii ni forum serious. Inawezekana sio watu wote wanaopita humu sio serious ndio maana hata Nungwi naye aliwahi kuingia humu. Lakini ukweli ni kwamba usipokuwa serious humu huna siku nyingi utaondoka tu maana utajiona upo out of context. Naamini Mbowe is a serious guy na hapa ndo mahala pake hasa. Tuwashauri tu wenzetu ambao wanafikiri hapa ni kijiwe tu cha kawaida kuwa we are in serious business; hatupo hapa kupiga soga. Kuna watu wanaingia kwenye vitabu kwanza kabla hawajashika key board. If you are not serious know that this is probabably not your place!

Dr Who: That is a tall order question. What do you expect in a politician? Do you believe that a politician can be positivist or empiricist? I don't! The only perspective for a politician is to be either idealist or realist or both. Of course, he has to have empiricists and positivists around to move his idealistic agenda forward. And this is the mistake we may have made for electing JK; he is not an idealist; he can't come up with big ideas.
 
Mbowe aongea na watanzania mtandaoni

By Habari Tanzania | Published Today | Habari za Kitaifa | Rating:

Na HabariTanzania.com

*Awapongeza kwa uzalendo wao kujadili masuala ya kitaifa
*Awaasa kutofanya masikhara na siasa wala viongozi
*Watanzania walio mtandaoni wamjibu, wengine wamwuliza maswali kedekede

Katika hatua ambayo imeonyesha kuwafurahisha watanzania watumiao mtandao wa intanet walio ndani na nje ya Tanzania, Mhe. Freeman A. Mbowe amejitokeza na kujisajili katika Mtandao mmoja na kutoa maoni yake kama watanzania wengine wafanyavyo.

Hali hii imewafurahisha watanzania walio wengi kwani badala ya kuendelea kuongea mambo bila kuwa na mlengwa wa kuelekeza maswali yao na kero zao kwake wamempata kirahisi na kumwuliza au kumpa ushauri wao harakaharaka.

Tarehe 2, Desemba 2006 Mheshimiwa Mbowe alijisajili katika www.JamboForums.com na kueleza hisia zake & shukrani kwa watanzania ambao wamekuwa wakichangia katika mijadala mbalimbali mtandaoni.

Baadhi ya watanzania waliomhoji au kutoa shukrani zao wamempongeza Mhe. Mbowe kwa kutumia njia ya mtandao na kujiweka bayana. Wengine walionekana kutofurahishwa na kitendo chake kujiweka bayana wakidai kuwa inaweza kumwaribia jina.

Maoni mbalimbali yametolewa na Mhe. Mbowe aliahidi kutoa majibu moja baada ya jingine (hasa yatakayoonekana ya msingi).

Tunapenda kuungana na watanzania wenzetu kumshukuru Mhe. Mbowe kwa kuingia mtandaoni bila kujificha ili watanzania waweze kumwuliza maswali mbalimbali na tunamwomba asiwadharau au kuchukia pale atakapoulizwa maswali yanayoelekea kuwa na dhamira mbaya. Atambue wazi kuwa wanadamu hatufanani na lazima kuna wanaomuunga mkono na wasiomuunga mkono.

Aidha ingependeza viongozi zaidi wa kitaifa wangetumia fursa hii ya mtandao kuweza kuwafikia wananchi mbalimbali kwani wanakuwa wanatoa dukuduku zao bila kificho na bila wasiwasi.

Kupata kujua watanzania wamemwuliza maswali gani na amejibu nini Bofya hapa: www.JamboForums.com

I hope server ya jambo forum itahold traffic zinazoletwa na huu umaarufu wa mpya.
 
wakubwa sawa inawezekana kambisa kwamba maswali niliyouliza kwa mweshimiwa mbowe yanahusu masuala binafsi na kwamba sio apriopriate. lakini yapo katika jamii yanasemwa.

mengine ya political philosophy ya chadema hayana mjadala kwasababu there is none. mtei baba wa chama ni anti-nyerere monetarist. mbowe aliyeshika hatamu ya chama sasa ni pro-nyerere populist. sasa hapa unaanza mjadala vipi? mnyika ame-admit hapa kwamba majuzi ndio wamekaa sasa kutengeneza dira ya chama. ina maana wakati wa uchaguzi mwaka jana walikuwa wanatupigia soga?

tukirudi kwa mbowe kumkumbatia nyerere wakati wa kampeni. unajua the biggest joke of the kampeni ilikuwa nini? pale mbowe alipokuwa anaimbisha watu wimbo wa taifa kwa kugeuza beti...kwa kusema beti ya kwanza lazima ianze "mungu ibariki Tanzania" badala ya ilivyo sasa ambapo beti ya kwanza ya wimbo wa taifa inasema "mungu ibariki Afrika". akawa anasema huo sio uzalendo aliotufundisha nyerere na kwamba lazima uanze na nchi yako. the joke hapa ni kwamba nyerere aliweka beti hizo makusudi kwasababu kwake yeye pan-africanism was paramount na u-afrika unakuja mbele (inawezekana alikuwa wrong kifalsafa). lakini kwa mbowe kum-misread mwalimu kwenye jambo basic kama hilo wakati akidai ni mfuasi wake, ameji-expose kwamba kichwani hakuna kitu.

sasa back to huu mzozo wa viti maalumu. hii sio invention yangu huu ulikuwa covered hata magezetini na iliripotiwa kwamba kulikuwa na vurugu kamati kuu chadema, huku baadhi ya wajumbe wakitaka mwenyekiti awajibishwe. sasa nashangaa watu hawataki chadema itoe maelezo kuhusu hili kwani ni la msingi kwasababu tunaambiwa kwamba freeman ni mtu makini na chadema ni chama makini. haya ya rafiki yangu zitto kwamba eti jamii ingeishangaa chadema kama mgombea mwenza wa urais asingepata hata ubunge ni maelezo ambayo hayana msingi na yanaonyesha udhaifu uliojificha ndani ya chama hicho. halafu wanaolalamika kuhusu hili ni wana-Chadema wenyewe. sawa, zitto tumeseme ni kweli mikoa inapata wabunge wa viti maalum kulingana na kura ilizopata chadema katika mikoa hiyo. hiyo system safi. lakini, huko mikoani sasa mnachaguaje huyo anayefaidika? manake kilimanjaro kapata mtoto wa ndesamburo. kulikuwa na process gani ya kumchagua yeye? angalau wenzenu ccm wana mchezo wa kuigiza wa kupigiana kura kwa wabunge wa viti maalum. kigoma kapata muhonga, she is 25 years old, kaingia chadema lini? wakati kina mama wa chadema waliokuwa wanasota enzi za mapambano kule kigoma baina ya premji na kaburu wametupwa kapuni. lazima walalamike. hili ni jambo zito linaloonyesha ubakaji wa demokrasia ndani ya chama.

masuala ya biashara za freeman. kwanini mnasema tutenganishe na siasa zake? mna uhakika kweli haviingiliani? since when money and politics (and sex) have been separate?

kuhusu kuingia online. mimi nadhani ni jambo jema, lakini mbowe ametoa changamoto ya msingi: huwezi ku-engage watu wanaokujua vyema lakini wewe huwajui. unajiweka kwenye asymmetry of information na kisiasa that is suicidal. Lakini cha ajabu he went on and engaged them anyway. kinachobakia sasa ni kwamba watu wakitwanga anxiety ni kutaka kujua ni kina nani na "wametumwa na nani".

wanaolaani kwamba chifupa au nchimbi wanachemsha kwa kutoingia humu wanakosea. hawana constituency hapa and, politically, this is a useless place. intellectually sawa, hii forum ni very useful. lakini kwenye siasa intellect is not an asset. yeye anazunguka kwenye mashule ya msingi na sekondari, kwenye visomo na misiba na kufuturisha. mnyika anashinda kwenye blog. waweke ubungo pamoja 2010, chifupa ataibuka kidedea. that is the reality of politics. hawa jamaa wana safari ndefu ya kujifunza. tunarudi kulekule kwenye idealism na realism.

sasa inawezekana kabisa wenzetu wameingia kwenye siasa to ease their conscious. fine. lakini siasa is about winning elections. they should be prepared to sell their souls to the devil. even the greens are doing that these days to get themselves into governing coalitions in europe. ndio maana mweshimiwa mbowe ana washikaji ccm.
 
Noana nimepitwa sana,

Hongera sana Mbowe kwa kuingia kwenye forum. Unaendelea kujitoafautisha na wanaisasa wengi wa TZ. Heko na karibu sana.

Sikubaliani na matazamo wa baadhi ya wachangiaji kwamba Mbowe amejimaliza kisiasa kwa kujiunga kwa kutumia jina lake halisi, labda kama tutakubaliana kwamba tuko hapa kufanya maigizo kama ambavyo viongozi wetu wengi wa sasa wanafanya.

Naamini Mtuhuru ameingia humu akiamini huku kuna mijadala chanya inayokosaoa na kutoa fikra mbadala kwa manufaa na ustawi wa taifa letu.Watu wengi humu ni makini na wapo wachache wanaonekana wamebobea katika udaku na majungu.Tusiwaachie wahujumu lengo la hii forum.

Natumai utajibu maswali ya msingi ambaya umeulizwa, hususani suala la umeme, na hapa sitarajii madongo kwa serekali lakini mtazamo mbadala ni wakati wa CHADEMA kuzihirisha kwamba ni kisima cha fikra mbadala.

Pia kuna suala la Jumuiya ya Afrika Mashariki,viongozi wanandelea kufanya maamuzi mazito pasipo kushirikisha wananchi upi mtazamo wa CHADEMA katika suala hili?

Tumaini jipya nalo limezimika ghafla kulikoni?
 
[

wanaolaani kwamba chifupa au nchimbi wanachemsha kwa kutoingia humu wanakosea. hawana constituency hapa and, politically, this is a useless place. intellectually sawa, hii forum ni very useful. lakini kwenye siasa intellect is not an asset. yeye anazunguka kwenye mashule ya msingi na sekondari, kwenye visomo na misiba na kufuturisha. mnyika anashinda kwenye blog. waweke ubungo pamoja 2010, chifupa ataibuka kidedea. that is the reality of politics. hawa jamaa wana safari ndefu ya kujifunza. tunarudi kulekule kwenye idealism na realism.

QUOTE]mugongo mugongo

hizi populist politics za jkn na timu yake hawa ndio wafuasi wake;yeye anaona kuingia kwenye forum ni ujinga,sasa hizi siasa za kufurahisha watu kwa kwenda msibani,ngomani,kutembelea familia ya mbonde,mpirani nk...niambie lini zimeinua uchumi zaidi ya unafiki,,,,ni unafiki kumchukua mtoto mmoja tabora na kumtibu muhimbili wakati jukumu la rais ni kuweka taratibu endelevu kwa watoto wote kutibiwa...mnakumbuka yule mtoto mmoja aliyetibiwa na msaada wa rais...hizi ndio siasa anazongelea mugongo za kujionyesha,,.hata rais akishinda hospitali kama hajapeleka dawa,wagonjwa watakufa na jioni atakuwa akienda kuzika...;
 
mzee phillemoni ni sawa kabisa kuingia online kama njia ya kurutubisha akili ni jambo sawa hapa pana mengi ya kujifunza na ambao hawako openminded kuingia humu wanakosa hilo, argument yangu sasa ni kwamba kuingia humu sio political masterstroke kama ambavyo mnataka mweshimiwa mbowe na watu wake waamini. upuuzi wa siasa zetu bongo unakugarantee kushinda uchaguzi kwa kwenda misibani na ngomani kuliko kuingia kwenye intaneti. siasa vilevile is about gestures and symbolism. clinton anapendwa na weusi hapa marekani lakini hakuna alicho-deliver kwao, yeye mzee wa kuimba nao gospel. hiyo ndio reality ya siasa whether we like it or not.
 
wakubwa sawa inawezekana kambisa kwamba maswali niliyouliza kwa mweshimiwa mbowe yanahusu masuala binafsi na kwamba sio apriopriate. lakini yapo katika jamii yanasemwa.

mengine ya political philosophy ya chadema hayana mjadala kwasababu there is none. mtei baba wa chama ni anti-nyerere monetarist. mbowe aliyeshika hatamu ya chama sasa ni pro-nyerere populist. sasa hapa unaanza mjadala vipi? mnyika ame-admit hapa kwamba majuzi ndio wamekaa sasa kutengeneza dira ya chama. ina maana wakati wa uchaguzi mwaka jana walikuwa wanatupigia soga?

tukirudi kwa mbowe kumkumbatia nyerere wakati wa kampeni. unajua the biggest joke of the kampeni ilikuwa nini? pale mbowe alipokuwa anaimbisha watu wimbo wa taifa kwa kugeuza beti...kwa kusema beti ya kwanza lazima ianze "mungu ibariki Tanzania" badala ya ilivyo sasa ambapo beti ya kwanza ya wimbo wa taifa inasema "mungu ibariki Afrika". akawa anasema huo sio uzalendo aliotufundisha nyerere na kwamba lazima uanze na nchi yako. the joke hapa ni kwamba nyerere aliweka beti hizo makusudi kwasababu kwake yeye pan-africanism was paramount na u-afrika unakuja mbele (inawezekana alikuwa wrong kifalsafa). lakini kwa mbowe kum-misread mwalimu kwenye jambo basic kama hilo wakati akidai ni mfuasi wake, ameji-expose kwamba kichwani hakuna kitu.

sasa back to huu mzozo wa viti maalumu. hii sio invention yangu huu ulikuwa covered hata magezetini na iliripotiwa kwamba kulikuwa na vurugu kamati kuu chadema, huku baadhi ya wajumbe wakitaka mwenyekiti awajibishwe. sasa nashangaa watu hawataki chadema itoe maelezo kuhusu hili kwani ni la msingi kwasababu tunaambiwa kwamba freeman ni mtu makini na chadema ni chama makini. haya ya rafiki yangu zitto kwamba eti jamii ingeishangaa chadema kama mgombea mwenza wa urais asingepata hata ubunge ni maelezo ambayo hayana msingi na yanaonyesha udhaifu uliojificha ndani ya chama hicho. halafu wanaolalamika kuhusu hili ni wana-Chadema wenyewe. sawa, zitto tumeseme ni kweli mikoa inapata wabunge wa viti maalum kulingana na kura ilizopata chadema katika mikoa hiyo. hiyo system safi. lakini, huko mikoani sasa mnachaguaje huyo anayefaidika? manake kilimanjaro kapata mtoto wa ndesamburo. kulikuwa na process gani ya kumchagua yeye? angalau wenzenu ccm wana mchezo wa kuigiza wa kupigiana kura kwa wabunge wa viti maalum. kigoma kapata muhonga, she is 25 years old, kaingia chadema lini? wakati kina mama wa chadema waliokuwa wanasota enzi za mapambano kule kigoma baina ya premji na kaburu wametupwa kapuni. lazima walalamike. hili ni jambo zito linaloonyesha ubakaji wa demokrasia ndani ya chama.

masuala ya biashara za freeman. kwanini mnasema tutenganishe na siasa zake? mna uhakika kweli haviingiliani? since when money and politics (and sex) have been separate?

kuhusu kuingia online. mimi nadhani ni jambo jema, lakini mbowe ametoa changamoto ya msingi: huwezi ku-engage watu wanaokujua vyema lakini wewe huwajui. unajiweka kwenye asymmetry of information na kisiasa that is suicidal. Lakini cha ajabu he went on and engaged them anyway. kinachobakia sasa ni kwamba watu wakitwanga anxiety ni kutaka kujua ni kina nani na "wametumwa na nani".

wanaolaani kwamba chifupa au nchimbi wanachemsha kwa kutoingia humu wanakosea. hawana constituency hapa and, politically, this is a useless place. intellectually sawa, hii forum ni very useful. lakini kwenye siasa intellect is not an asset. yeye anazunguka kwenye mashule ya msingi na sekondari, kwenye visomo na misiba na kufuturisha. mnyika anashinda kwenye blog. waweke ubungo pamoja 2010, chifupa ataibuka kidedea. that is the reality of politics. hawa jamaa wana safari ndefu ya kujifunza. tunarudi kulekule kwenye idealism na realism.

sasa inawezekana kabisa wenzetu wameingia kwenye siasa to ease their conscious. fine. lakini siasa is about winning elections. they should be prepared to sell their souls to the devil. even the greens are doing that these days to get themselves into governing coalitions in europe. ndio maana mweshimiwa mbowe ana washikaji ccm.

Mtu kama wewe Mugongo mugongo ndio ulitakiwa uwe kiongozi wetu, maana unaijuwa siasa theoretically and practically. Kila paragraph hapo juu ina ujumbe mzito na maswali yako kwa kweli yanasababisha mtu anayetaka kuyajibu awe na kigugumizi cha vidole. Endelea.
 
MUGONGO MUGONGO
Tumekuonya na hizo siasa zako za kutumwa ninaona ujasikia kama wewe unajipendekeza kwa JK

sasa tunakuumbua kwa sababu JK apendi watu ambao uwezo wao wa kufikiri ni mdogo imefika muda wa kuweka picha yako kila mtu akujue jinsi unavyo tumiwa hii forum ina msaidia JK kujua mapungufu katika serikali yake

JK awezi kutembea kila nyumba kusikiliza matatizo ya kila mtu pia awezi kutembea kila mkoa,wilaya,kijiji, kusikiliza matatizo ya mtu moja moja ,

kwahiyo sisi tuna mrahisishia kila kitu anakiona kwenye komputa yake anajua ni kiongizi gani anamatatizo siyo mwaminivu,siyo mkweli kwa sababu watu wake watamuandika rama ya kwanza mara ya pili mara ya tatu anamuondoa au kumuamisha wapo walio amishwa kutokana na forum hii.

Kwasababu viongozi wote mpaka mtendaji wa kata amenunua wahariri,ili asiandikwe maovu yake sasa hapa kila mtu anaandikwa atakama una pembe mia

Sasa soma kwamakini hii forum wewe unakwenda kubaya watu wote katika hii forum mimesha watumia private massege info. zako na picha na aliye kutuma maelezo yake yapo hapo na ushabiki

wakijinga mlionao, unafanya kazi mahali nyeti sana na tupo jengo moja tunajua jinsi ulivyo ingia hapo kazini,tuna jua hauna mtu kwenye forum hii bora uache au ubadilishe topick ongea hoja za msingi

Mimi ni CCM lakini sishabikii ujinga hata JK ananijua kwahiyo chunga mdomo wako ujui JK anafaidikaje kuhusu hii forum kwanza leo tumepishana hapo getini na tumepishana kwenye ngazi,dunia ndogo kijana sikuamini unatumiwa na

mwanaume mwenzako mbona uko simati sana nini unataka umbeya ufike kwa JK ,JK hana muda na watu kama wewe japo kuwa anakuona mara kwa mara

soma kwa makini ujuwe Muh Mbowe kaona mbali wewe badala ya kuwaalika viongozi wa CCM huku wajue faida za internet unalumbana na mambo binafisi ya Mbowe

Teknolojia ya Internet ina nafasi ya pekee, kwa miaka ijayo, ya kuwezesha wananchi na watu wengine toka katika sekta mbalimbali kuweza kuwasilisha ujumbe wao kwa umma moja kwa moja

bila kupitia mlango wa vyombo vya habari ambavyo mara nyingi habari muhimu za kimaendeleo zinaonekana kuwa "haziuzi" gazeti.

Teknolojia hii ina nafasi ya kumpa mwananchi uwezo wa kutimiza haki yake ya kikatiba ya kujieleza na kuwasiliana na watu wengine (wawe ndani ya nchi au nje).

Nguvu ya teknolojia hii ndio imefanya serikali za nchi kama vile China, Morocco, Misri, Pakistani, Bahrain, n.k. kuanza kukamata wanaforum na kuwatia jela au kutumia teknolojia zinazozuia

Internet zao kusomwa na wananchi katika nchi hizo.
Ni teknolojia hii iliyowezesha kufumuka kashfa ya mbunge wa Marekani aliyekuwa akiandika ujumbe mchafu wa maandishi kwa vijana wadogo. Kabla vyombo vikubwa vya habari na uongo kuwa na

habari hii tayari wanaforum walishaipata na kuchapa ujumbe aliokuwa akiandika mbunge huyo. Ni teknolojia hii iliyowezesha taarifa muhimu kuwafikia wahusika wakati wa janga la Tsunami na hata Katrina.

Ni teknolojia hii iliyowezesha dunia kujua kuhusu kukamatwa kwa mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu huko Ethiopia, Yalemzewd Bekele, siku kadhaa kabla vyombo vikubwa kama BBC

kuipata habari hiyo. Mwanaforum Ethio-Zagol wa Ethiopia aliandika kuhusu tukio hilo la mwisho wa mwezi uliopita ndipo vyombo vingine vya habari vikaanza kulifuatilia. Matukio na habari kawaida havisubiri mwandishi au mpiga picha.

Ni tekinolojia hii ndiyo iliyo mfanya MUH.KIKWETE na KARUME kushinda uchanguzi 2005 kupitia mtandao wa www.uchaguzitanzania.com iliyo kuwa inaendesha kura za maoni kwa wagombea urais, bara na visiwani'' ZANZIBAR''

pia ni tekinolojia hii ndiyo iliyo fanya kampani za CCM kujulikana dunia nzima kupitia mtandao wa www.kikweteshein.com pia Muh.JK alipokutana na waziri wa mambo nje wa marekani CONDOLEEZA RICE alimuambia JK alikuwa anafuatilia kampani za CCM, ilikuwa nzuri Ongera kwa ushindi tuko pamoja, karibu sana,

Ni tekinolojia hii iliyo tumika kwa serikali ya Tanzania kutoa tamko kuhusu filamu ya mapanki kupitia mtandao wa www.darwinsnightmare.org

Ni tekinolojia hii wafanyabiashara wa tanzania wanatumia kutanga biashara zao nje

Nitekinolojia hii Tanzania inatumia kutangaza vivutio vya utalii na kutafuta wawekezaji nje

Matukio hutokea wakati wowote. Wakati wa shambulio la kigaidi kwenye treni na basi kule Uingereza, picha za wananchi wa kawaida waliokuwa na simu za mkono zenye kamera na habari za wanaforum vilikuwa ni hazina kubwa kwa umma uliokuwa ukihitaji kujua nini kilitokea na kilitokea vipi.

Ni umuhimu wa teknolojia hii uliomfanya aliyekuwa rais wa Marekani, Bill Clinton, kuamua, miezi kadhaa iliyopita, kukaribisha wanaInternet ili anywe nao chai.

Vyama vya siasa Marekani vinajua nguvu na mambo makubwa yanayoweza kufanyika kwa kutumia teknolojia ya Internet. Tena nguvu na sauti za wanaforum ni moja ya mambo ambayo yamebadili kabisa uwanja wa siasa nchini Marekani.

Na wachambuzi wa nyanja ya habari na siasa wanasema kuwa kati ya sababu nyingi zilizochangia kushindwa vibaya kwa chama cha Joji Kichaka ni teknolojia hii.

Sio ajabu unaposikia kuwa aliyekuwa mgombea mwenza wa John Kerry katika uchaguzi wa uliopita wa urais Marekani, John Edwards na mkewe, Elizabeth Edwards, ni wanaforum. Mkewe anasema

kuwa ni teknolojia hii iliyomfanya akawa hai na afya njema hadi leo baada ya mwanaye kufariki na yeye kugundulika kuwa ana kansa.

Ni teknolojia hii iliyomfanya mwenyekiti wa chama cha Democrat, Howard Dean, kupata umaarufu wa ghafla (ingawa alishindwa katika harakati za kuwa mgombea urais) na hatimaye kuwa mwenyekiti wa chama hiki.

Ni teknolojia hii ambayo imewawezesha wanaforum kule nchini Kenya, kupitia mradi wa Mzalendo (http://mzalendo.com/) kuwa maripota wa masuala na habari za bunge la Kenya.

Kwa kutumia teknolojia ya Internet, mwanaforum aitwaye Kenyan Pundit na mwingine, Thinkers Room, wameanzisha forum ambayo nia yake ni kuwawezesha wananchi wa Kenya kujua nini

kinatokea bungeni, kuweza kushiriki katika mijadala kuhusu miswada mbalimbali na kupata taarifa kuhusu wabunge wao (kama vile kiwango cha elimu cha wabunge, jinsi ya kuwasiliana nao, na

hata kutumia Internet hii kuwatumia maswali).
Wameona bunge halitoa taarifa muhimu kwa wananchi (halina tovuti inayofanya kazi!) na vyombo

vya habari/uongo havitoi taarifa za kutosha kwa Wananchi
Samahani Muh. JK kwa kukutaja ndini ya forum hii ninaomba radhi kama nimemkwaza mtu yeyote haya ni maoni yangu na pia tunaelimishana CCM DAIMA-Ninaomba kutoa hoja

BY KING
ASANTENI
 
Jamani, this is another mocking news.

Bwana Marmo - the Minister of State in the Presidents Office (Good Governance) kasema hivyo kwenye vyombo vya habari.

Hii ni habari ambayo si mpya katika jamii ila this aimed to fool the mass that at last the gvt is serious to take to task all corrupt officials in civil services and parastatal organisations. Wacha bwana huu ni mchezo wa kuigiza.

Wala rushwa walioiweka Tanzania hapa ilipo hoi bin taaban ni wale wale watakao pelekewa mswada huo ili ujadiliwe na kupitishwa halafu atapelekewa boss ausign ili iwe sheria ambayo hatofatilia utekelezaji wake.

Sidhani kama wale waliosign mikataba ya IPTL, NBC, ATC, Richmond, Ununuaji wa ndege ya rais (rais mwenyewe haitaki, sijui kwa nini isiuzwe tukarudishiwa pesa zetu), rada na mengine mengi ya humu ndani.

Anti - corruption is corrupt and rotten itself, I'm saying this because this squad can't even dare investaigate the Richmond Scandal whilst it's still hot!!!

Hawana ubavu wowote....

NYMBA ZA MASAKI JAMANI.... NASIKIA WAZUNGU WANAPANGA KWA $4,000 KWA MWEZI! SERIKALI INAKUSANYA KODI HAPO?? Uliza wanaomiliki hayo mabangalow ... utapata kizunguzungu.

Usiku mwema jamani,

Kaiba Wambandwa
 
mwanasiasa umeongea mambo ambayo ni kweli Mbowe Mr. na kijana Mnyika na wapenzi wote wa Tanganyika wanataka kusikia na kuona yanatokea .
 
Mugongo mungongo.
SAFI sana pia naomba pitia kule kwenye Tamko la chadema, naendelea kuwanyoa watu.
naomba japo mchango wako mmoja kule,maana kuna wajanja wachache wanao watu wajinga.
 
muzee chinga - nitapitia huko punde. naingia kijijini kesho kama kwa wiki hivi. sasa tungoje mweshimiwa mbowe ajibu halafu tushushe vigongo vingine.
 
Wambandwa,
Hata kama hiyo ndege itauzwa fedha hazitarudi. Ndege yenyewe chakavu ilinunuliwa dola milioni 46. Sasa leo ukiiweka kwenye soko la dunia utakuwa na bahati kupata milioni 16.
 
Karibu sana mtandaoni Bwana Freeman Mbowe, naamini uwepo wapo utasaidia kwa namna moja au nyingine.Lengo letu ni kujadili na kujenga nchi yetu bila kujali itikadi.
 
Bwana Freeman Mbowe ni kweli binafsi nakili wengi wetu humu ndani tunatumia majina ya bandia. Hoja yako ya kutumia majina halisi tutalifanyia kazi.
 
Bwana Mbowe / John Mnyika, Nafikiri mnafahamu Juhudi zetu za kuwaletea Tanzania siasa halisi na uongozi bora zinakwamishwa na TANZANIA PRESS.Tanzania Press imekuwa idara ya Serikali na Chama Tawala, inatubaka live wananchi kwa kutunyima habari za kweli, kila siku tunasoma mara JK afanya kweli, JK anatisha, na habari nyingine za kufagilia serikali ya awamu ya nne lakini ukweli halisi sio hivyo. Kwa wananchi wanaoelewa mambo hili halisumbui sana kwa sababu wanajua kuchagua pumba na mchele, lakini wasiwasi wangu kuleeee Tanganyika(Mikoani) kwenye watanzania wengi wananchi wanazidi kuachwa kwenye matumaini hewa.Sitasita kusema kwa hili IPP MEDIA wanaongoza kupotosha watanzania. Je CHADEMA wanamsimamo gani kwa hili suala la wananchi kubakwa na Tanzania Press? Naamini Tanzania press tulionayo sasa ni hatari wa maendelea ya Taifa letu kuliko maralia au HIV.Naomba kutoa hoja!
 
Back
Top Bottom