The Only Thing We Have to Fear is Fear itself

Jibu lipo hapa kwenye bold Kwa wale waliokuwa na maswali.
===


Hivi threads zote za humu JF hazina substance kiasi cha kukufanya usirudi jukwaa hili to Dec 4, 2006? Au ulipoteza password ya account ya JF?

Kama ni issue ya password moderators please do the needful, Mkuu apate access ya account yake.
Tulia lumumba, mmeshindwa kutushawishi sisi tusiowaelewa miaka yote humu jf unataka Mbowe arudi kufanya nini?

Hiyo kazi anayoifanya sasa hivi huko nje ndio muhimu zaidi mpaka mmemtafutia sababu ya kumfunga jela.
 
paka mmemtafutia sababu ya kumfunga jela.
Mimi nimekuwa mfunga watu tena...ha ha haaa! Huo ubavu nautoa wapi?
====
Mkuu kwa kuwa Mwenyekiti ( hii ni heshima kubwa) F.A.Mbowe upo karibu naye fanya namna aingie tena JF ili ashushe madini. Nadhani anaweza kuwa na access ya mtandao huko alipo maana hajahukumiwa hadhabu, nawaza!
 
Back
Top Bottom