The new me.

The new me.

OTIS

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
2,252
Reaction score
839
Nilikuja kwa jina la dushelele.
Nimebatizwa jana na sasa naitwa Otis.
Tuzidishe upendo.
OTIS.
 
Nilikuja kwa jina la dushelele.
Nimebatizwa jana na sasa naitwa Otis.
Tuzidishe upendo.
OTIS.
Umeacha jina la kibantu umekimbilia la wazungu,na wewe vipi bana.!
 
Nilikuja kwa jina la dushelele.
Nimebatizwa jana na sasa naitwa Otis.
Tuzidishe upendo.
OTIS.

Hivi hii kumbe ni ruksa? Ile Id yako ya mwanzo inakuwa imekula life ban ama vipi? Maana unaweza kuingia na ile ukachafua hali ya hewa huku ukijua ukipigwa ban tu unaingia na ile nyingine.Teh teh teh
 
Back
Top Bottom