The new me.

The new me.

Hivi hii kumbe ni ruksa? Ile Id yako ya mwanzo inakuwa imekula life ban ama vipi? Maana unaweza kuingia na ile ukachafua hali ya hewa huku ukijua ukipigwa ban tu unaingia na ile nyingine.Teh teh teh

ID ni ile ile ila jina ndio limebadilika mkubwa.
Inawezekana sana.
OTIS.
 
mkuu kumbe ni memba wa kile kikundi cha kina shehe yahaya..
 
mkuu kumbe ni memba wa kile kikundi cha kina shehe yahaya..

Sheikh Yahaya simtambui mkubwa.
Illiminati ni illuminated,without being illuminated you wont succeed.
OTIS.
 
Back
Top Bottom