RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,443
- 2,031
Nimeona hiyo video. Hayo mambo yote Range Rover inayafanya vizuri kabisa bila shida yeyote. Kumbuka Range Rover ni moja kati ya magari yenye uwezo mkubwa saana offroad kuwahi kutengenezwa. Point hapa ni kwamba nani anapeleka Range Rover lake offroad? Ndio tunachoongelea hapa. Sio kwamba gari ni baya au halina uwezi. Ila muonekane wake, na features zake zimepishana na legacy ya gari linaloli replace.mbona gari ni ya kazi hiyo......actually imedevelop zaidi kuliko ya zamani....kupitia YouTube account ya drive tribe wanasema landrover took 10 yrs to develop the whip on different areas and landscapes kama winter,dessert na sehemu zenye maji maji....shida gari hili inakuja kwamba kwa sisi wabongo kutengeneza ndo tabu but bado the thing is very hardcore....
Reviewers karibu wote wa UK wamelisifia. Ila ukiangalia comments za wadau huko ndio utajua. Kuna mmoja amejiuliza Hammond amelipwa kiasi gani mpaka kulisifia hilo gari?dah.....maneno yangu sidhani yatatosha kukuaminisha kama unamuda ingia youtube look for dtivetribe....wameiongelea kwa undani zaidi tena aliyeipa sifa ni Richard Hammond yule jamaa wa grand tour...cjui unamfahamu?
Yes, siku hizi makampuni mengi yanatengeneza magari kwa order. Lakini huwezi sema tu nataka manual transmission kama haipo kwenye options list. So far hakuna manual transmission kwenye hayo magari. Ingia kwenye web yao utaziona hizo options. Zote zinakuja na automatic transmission.Alie kuambia manual haipo nani?
Kumbuka hizi zinatoka kwa order unasema unataka nini unatengenezewa
Dah! Kwa mazoea ya kubamiza milango ya zile defender zetu, hapa tutavunja kabisa...ngoja tuwe wastaarabu.Leo ni official launch ya Landrover Defender huko Frankfurt, Germany.
Wamezindua Defender 90 and 110.
View attachment 1203553View attachment 1203554View attachment 1203555View attachment 1203556View attachment 1203557View attachment 1203558View attachment 1203559View attachment 1203560View attachment 1203561View attachment 1203562
Ni kweli kabisa gari zinazokuja na manual transmission as standard zinapungua, ila sidhani kama zitakwisha kama ulivyosema. Kitakachofanyika ni kufanya maboresho tu kwenye hiyo gearbox ili iwe ya kisasa zaidi. Na itakuja kurudi kwenye chat siku moja mpaka watu watashangaa.Wanakufa na wanazaliwa wengine daily.
Na ndio maana UK kwa kujua umuhimu wa manual aliyejifunza gari huko driving school kwa kutumia manual car atapewa leseni ya kumruhusu kuendesha both manual&auto wkt aliyejifunza kwa kutumia auto atapewa leseni ya kuendesha only auto car.
Hehehee, nilivyoiona ile day one ilibidi nicheke tu. Japo walijaribu kuisifia saana lakini wapi. Haijabamba.Daah mkuu unasema ukweli mtupu,na hio discovery latest ni upuuzi mtupu ule u-masculine wote kwishnei sijui hawa wahindi wkt wa designing wanakuaga wanawaza nini.
Defender ya zamani ilikuwa na feature ya kulaza kile kioo cha mbele, kusaidia wapambanaji kurusha "mabomu" vizuri bila kupasua kioo. Sasa hi ya sasa sijui kama ina hiyo feature.Hahah mwanangu hata mgambo hawalitaki hilo gari,waasi wataendelea na 70 series zao na yale ma-hilux yao.
Real men drive three pedalsWanakufa na wanazaliwa wengine daily.
Na ndio maana UK kwa kujua umuhimu wa manual aliyejifunza gari huko driving school kwa kutumia manual car atapewa leseni ya kumruhusu kuendesha both manual&auto wkt aliyejifunza kwa kutumia auto atapewa leseni ya kuendesha only auto car.
Hii gari yao nadhani imelenga wakulima wazee/walio-retire wa huko UK ambao hawako serious na mambo off-roading.Defender ya zamani ilikuwa na feature ya kulaza kile kioo cha mbele, kusaidia wapambanaji kurusha "mabomu" vizuri bila kupasua kioo. Sasa hi ya sasa sijui kama ina hiyo feature.
YeahReal men drive three pedals
Disco. ni aibu tupu eti mpk wana version ya 2.0-litre engine 4 cylinder hii si ni aibu mkuu?Hehehee, nilivyoiona ile day one ilibidi nicheke tu. Japo walijaribu kuisifia saana lakini wapi. Haijabamba.
Na hapo ndipo kushindwa kwao ktk soko la Afrika. Niliichomoa engine ya Td 5 ya Defender, nikapachika engine ya Tdi 300 kwa kuwa Td 5 engine ni ya umeme na iko complicated kuliko Tdi.Teknolojia na umeme mwingi sana vimetumika hapa.
Mlitaka iweje?At least LC kuna 70 series. Hata hiyo 200 wakiibadilisha ikawa modern sio issue saana maana imeshakuwa luxurious teyari mpaka hapo ilipo, as hizo wala sio za kwenda porini kivile. Sasa Land Rover teyari wana Range Rovers kibao, sasa na hii na Defender pia wameifanya kuwa ya kishua, inakuwa shida kidogo. Na so far nadhani hakuna manual option kwenye new defender.
Discovery walizingua the same.Nimeona hiyo video. Hayo mambo yote Range Rover inayafanya vizuri kabisa bila shida yeyote. Kumbuka Range Rover ni moja kati ya magari yenye uwezo mkubwa saana offroad kuwahi kutengenezwa. Point hapa ni kwamba nani anapeleka Range Rover lake offroad? Ndio tunachoongelea hapa. Sio kwamba gari ni baya au halina uwezi. Ila muonekane wake, na features zake zimepishana na legacy ya gari linaloli replace.
Waingereza wanasifia vyao. Usibebe kila wanachosema.Reviewers karibu wote wa UK wamelisifia. Ila ukiangalia comments za wadau huko ndio utajua. Kuna mmoja amejiuliza Hammond amelipwa kiasi gani mpaka kulisifia hilo gari?
Hii ni kweli kabisa mkuu. Vyao wanavibeba hata kama sio.Waingereza wanasifia vyao. Usibebe kila wanachosema.
Changanya na zako.
Halafu bado wana Freelander na Evoque. Yaani sijui wamekuaje hawa.Disco. ni aibu tupu eti mpk wana version ya 2.0-litre engine 4 cylinder hii si ni aibu mkuu?