Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,569
- 9,429
Kwa wale warembo wenzangu wenye ngozi nyeusi kama yangu au wale wenye weusi wa maji ya kunde hizi ndio lipstick zetu zinazotufaa zaidi na kutupendeza.
Yap, Bond Girl, Birkin Brown, Love Liberty, am in.
Na color ya wine pia, sijaona hapa lakini, au ndio hiyo Glastonberry.
You're welcome my BOO️
Your request is my command TakuleteaMie napenda rangi kama hio amazing grace. Naona ndio zinani suit
Your request is my command Takuletea
Moyo mashine
You're very beautiful even without it.
️
The
espy vipi kifua kinaendeleaje?Aww!, thanks boo!
You're welcome my BOO️