Habari Jf ,
Kwa wale wenye malengo ya kupata suluhisho la kudumu kwenye upatikanaji wa maji , njia pekee ni kutumia chanzo cha maji kutoka kwenye miamba chini ya ardhi,
Changamato mchakato mzima ni gharama kuanzia kufanya survey hadi kuchimba na kusambaza maji.
Sasa basi kwa uzoefu nilionao kwenye shughuri hizi kwa zaidi ya miaka 10, watu wengi wanahitaji hii huduma ila kuingiza pesa ya mara moja imekuwa ni changamoto kwao.
Sasa basi naweza kusaidia kwenye hili ukaweza kuchimba kwa kujikusanya kama zinavyojengwa nyumba.
Hatua ya kwanza kwenye uchimbaji lazima ifanyike underground water survey,
Underground water survey ni upimaji unaotambua location au center ya maji kwenye miamba huko chini ya ardhi (water table) kwa kutumia mashine maalumu designed kwa kazi hii, mbali na hilo pia kuna parameters zingine zinaonyesha zinazoweza kusaidia kulahisisha kazi ya uchimbaji.
Sasa baada ya kufanyika zoezi hilo la survey, ndio inaweza kuandaliwa gharama nzima ya project yako na hapa ndio kimbembe kinaanza,
Mfano unakuta survey imesoma maji yapo mita 100, unajikuta unatakiwa uwe na zaidi ya 15 M kwa mara moja, wachache wanamudu wengi wanaingia mitini milele.
Sasa hapa ndio nataka nitoe mbinu kwa watanzania wenzangu, kama utapenda kufanya kazi na mimi na huna uwezo wa kupata pesa kwa mara moja, nitakuandika materials ambazo unaweza kuanza kuzinunua kidogo kidogo, ukikamilisha naleta mashine tunachimba tu na kufanya installations ya hizo materials ulizokusanya.
Nawakalibisha wote Bara na visiwani kote nimefanya kazi na kazi zinaendelea, wenye project za kilimo, ufugaji, ujenzi, domestic, n.k wote karibuni.
Wasiliana nami, team ipo yakutosha kujigawa kufika popote kukuhudumia.
WhatsApp 24/7
+255779 380009
+255638 350039