Hahaha tuanze kujiandaa mapemakui ebu ukuje na maelezo
Sikuzugi mama, au una baba mwingine? Ndio uniambie!!Nizuge tu
Hahahahaaa!! Ndio maana nimemwambia dota nae nataka nijue yake ya ukweli ukweli.Halafu hii kama ya ukweli ukweli hivi
Dota wako anajifanya kumsahau baba yake.Mhhh..Nini kinaendelea hapa
Teh teh..Kaificha TB yake mwenyewe,kikohozi kimemuumbuaHahaha tuanze kujiandaa mapema
Heaven Sent Douta umepata baba mwingine?Sikuzugi mama, au una baba mwingine? Ndio uniambie!!
Yule mnayefanya naye degreeHahahahaaa!! Ndio maana nimemwambia dota nae nataka nijue yake ya ukweli ukweli.
Sikuzugi mama, au una baba mwingine? Ndio uniambie!!
Daddy TB ikiwa real, lazima tu utakohoaTeh teh..Kaificha TB yake mwenyewe,kikohozi kimemuumbua
Mzee upo salama?Heaven Sent Douta umepata baba mwingine?
Kumbe..Na mama yake nae inabidi atuambie..Mi nilishamwambia asiponialika kwenye mnuso namshusha bushaHahahahaaa!! Ndio maana nimemwambia dota nae nataka nijue yake ya ukweli ukweli.
Yupi huyo dota!! Kwahiyo zile habari za degree uliziamini kabisaaaa!!!Yule mnayefanya naye degree
Nipo aisee..Mbona umejificha sanaMzee upo salama?
Unaifichaaa, kumbe haifichiki, teh teh teeeh!!Daddy TB ikiwa real, lazima tu utakohoa
Basi utanipoteza maboya leo hadi nikome, muoneYupi huyo dota!! Kwahiyo zile habari za degree uliziamini kabisaaaa!!!
Daddy unaanzaje kukosa bana? Na huku ulishanipromise gauni jamani loohKumbe..Na mama yake nae inabidi atuambie..Mi nilishamwambia asiponialika kwenye mnuso namshusha busha
Hahaha me nina malariaUnaifichaaa, kumbe haifichiki, teh teh teeeh!!
Bado TB yako.
Kwahiyo unamshusha busha dota wako!!Kumbe..Na mama yake nae inabidi atuambie..Mi nilishamwambia asiponialika kwenye mnuso namshusha busha