Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,439
- 29,633
Our president of course. He is so cute!
50 yearsUmri tafadhara
Sister duuuu tena. MTU ana miaka 50.Dah kumbe yule sista du ni presidaa!
Aisee, yuko njema saana
Anaitwa Kolinda grabar-kitarović, jarida la MNTV linaripoti kuwa 'she is the most sexy and attractive president of our era'
Ni Rais wa kwanza mwanamke wa Croatia alichaguliwa mwaka 2015.Uchaguzi wa vyama vingi nchini Croatia ulianza mwaka 1990.
Sasa hivi anatia fola huko Russia kwa kujichanganya na mashabiki na wachezaji wa Croatia. Alipanda ndege daraja kawaida (economy class) na washabiki wengine kwenda Russia, uwanjani alikataa kukaa sehemu ya VIP ili apige 'amsha amsha' ya hamasa vizuri.
Afrika na hapa kwetu,Tanzania nchi maskini lkn mpaka mawaziri wanasafiri kwa daraja la kwanza (first class). Kama timu za Afrika tungevuka hatua ya makundi, Sipati picha marais wa Afrika wangefanya anasa gani Russia.
Angalia hizo picha chini [emoji116]View attachment 805837View attachment 805839View attachment 805838View attachment 805841View attachment 805842View attachment 805843
[emoji16][emoji16][emoji16] umeona eeh anapiga tizi hasa ya miguuNaye anafanya mazoezi? mbona miguu yake sio attractive kama heading inavyo mnadi?
Tumebarikiwa kwa unafiki.Ingekua afrika mngeponda mna mana nyie, alikuja mfalme wa Morocco, alipokua Zanzibar alivaa nguo kiujana, vijana wa upinzani wakaanzisha uzi kwanini amekaribishwa Ikulu, wakamponda sana JPM
Hilo ziwa hatareeeCroatian presidentView attachment 805938
Kipindi JK anakwenda sana misibani waliponda, JPM haendi msibani wanapondaAngekuwa ndiyo Mama Samia kaenda kushabikia timu ya taifa sijuwi angeshushiwa matusi ya dunia ya ngapi, akifanya mzungu wameendelea. Waafrika Wacheni tu tutawaliwe na marais uchwara dizaini ya kina Mkapa na Kikwete huku wakitucheza shere.
Kipindi JK anakwenda sana misibani waliponda, JPM haendi msibani wanaponda
Hii picha sio ya Rais wa Croatia. Huyo ni Coco Austin mke wa Ice TCroatian presidentView attachment 805938
+2723656437649559468Weka namba zake
President wako ni JIWEOur president of course. He is so cute!
Uongo. Huyo wa kulia ni Coco Ice T.