The most sexy and attractive president

The most sexy and attractive president

Mzungu na mtu mweusi =Usiku na mchana.
Wanachifanana ni wote wanajisaidia na wote watakufa,lakinj mambo ya kufikiri na kuamua ni fofauti kabisa trust me!
Kweli kabisa mkuu afrika hovyo sana
 
Anaitwa Kolinda grabar-kitarović, jarida la MNTV linaripoti kuwa 'she is the most sexy and attractive president of our era'

Ni Rais wa kwanza mwanamke wa Croatia alichaguliwa mwaka 2015.Uchaguzi wa vyama vingi nchini Croatia ulianza mwaka 1990.

Sasa hivi anatia fola huko Russia kwa kujichanganya na mashabiki na wachezaji wa Croatia. Alipanda ndege daraja kawaida (economy class) na washabiki wengine kwenda Russia, uwanjani alikataa kukaa sehemu ya VIP ili apige 'amsha amsha' ya hamasa vizuri.

Afrika na hapa kwetu,Tanzania nchi maskini lkn mpaka mawaziri wanasafiri kwa daraja la kwanza (first class). Kama timu za Afrika tungevuka hatua ya makundi, Sipati picha marais wa Afrika wangefanya anasa gani Russia.

Angalia hizo picha chini [emoji116]View attachment 805837View attachment 805839View attachment 805838View attachment 805841View attachment 805842View attachment 805843
Nimempenda
 
HUYU dem Alimuahid MODRIC kumpa papuchi... ndio maana madric Linajikamua sana.. na atakuwa kashapewa
 
Huyu dushe likimkolea si atatoa siri zote za baraza la mawaziri? Tuwe serious
 
Pata picha huyu rais wa Croatia awe mke wa Kange Lugola, mzee wa suti na raba.
 
M@tako hana bana... Mm wala sina haja nae.. Nyie endeleeni tu, uzuri wa mwanamke mkiaa kwanzaa, uso unafuatia...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom