Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,748
- 18,630
nchi 25 zilizostaarabika duniani ziko asia, north amerika na Ulaya, afrika kuna nchi moja tu south afrika halafu waafrika wanataka kufukuza Christians.
jamii yenye ukarimu ni jamii ambayo watu wake wanasema asante au kushukuru, samahani, kusalimia, kusaidia wasio jiweza kama walemavu, kuheshimu wengine wote wanawake, wanaume na watoto wanastahili heshima, na mambo kama hayo ...