Alafu kwa dunia ya Leo hata sehemu usipofika. Sio sababu ya kutojua abc za eneo husika
Afrika Kusini, mji pekee ambao una uhalifu ni Johannesburg. Nenda miji kama Capetown au Witwatersrand, kuna ustaarabu wa hali ya juu. Huwezi kulinganisha na huku kwetu.