CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,691
- 1,087
DOGO acha mihemko, Rodri alikuja kama upgrade ya Fernandinho na sio replacement. Wakati Silva KDB tayari alikuwa kwenye Top of his game.
Kijana hujajua kuwa Upgrade bado ni replacement, mkuu tofauti ni kwamba replacement yetu imekuwa upgrade.
Alafu acha kubadilisha maana ya maneno. Ukisema Rodri alikuwa upgrade ya Fernandinho, basi unathibitisha hoja yangu, alikuwa successor wa Fernandinho, akaja akawa bora zaidi. Hiyo ndio maana ya replacement nzuri sio lazima awe copy ya aliyemtangulia.
Kuhusu KDB, City Walikuwa na mchezaji aliyekuwa tayari anainuka, halafu role yake ikabadilika na kupanuka baada ya Silva kuondoka.
Point ni kwamba City imewahi kupoteza legends, ikapata succession ambayo haikuwa copy paste, na timu ikaendelea kuwa bora.