The "LIKE"' bank

wekeza post zaidi upate likes zaidi,,,,bila riba yoyote,na usiwe mchoyo humu ndani,,,,kwa mtindo huu Madame B lazima uwe moderator mwaka huu.....
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanini dislike hazipo ili angalau watu wajipange kabla ya kuandika

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
wakati nikiwa na miaka kumi ndo walianza kujenga kanisa pale kotela.

 
LOL kumbe likes ni dili siku hizi. andika post nzuri na utapewa likes za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…