The "LIKE"' bank

Karibu chit chat.


Sasa mbona anataka Like halafu anaingia mitini..?? Halafu ujue Mamndenyi mi napenda sana kujua umri wako,we nitajie tu wakati ukiwa na miaka miwili kulikuwa na tukio gani kubwa nchini au hata duniani nitakuelewa.Kwa mfano mimi wakati nikiwa na miaka Mitano ndio kulikuwa na Mkole wa Nyamayao kule Vijibweni..
 
Last edited by a moderator:

Eliah G Kamwela says sorry for this very kilazaful post.
 
Last edited by a moderator:

Nilielewa ila nilikuwa natumia sim, nadhani sasa tuko pamoja coz nimeshalipa madeni.......let the fun go ON.
 
Hii obssession ya likes nashukuru maulana imeniepuka. Trust me, mtu akipenda wazo langu nafurahi, lakini sio muhimu agonge like. Anaweza kumention tu ama quoye na kusema amependa na kwa nini. It is more interractive kuliko like.
 
Namshukuru sana mtoa mada siku ya leo,maana leo nimepata Like za kumwaga toka kwa snowhite kama tano kwa mpigo Loh snowhite mwaaah,mwaaah,mwaah..

Mwaaah, mwaaah, mwaaah.... Msiri wangu.
Hv unakumbuka deni langu ninalokudai?
Tafuta basi njia m-badala ya kunilipa kama pesa huna.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…